BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,164
Hizo habari ni zipi????
Kabisa mkuu , nimekusoma vizuri sana .
Kosa lao ni kuandika kuwa risasi moja (ya SMG) ilikutwa ndani ya wallet ya Lissu imechanganyika na noti zake bila kuleta madhara kwenye noti zake wala mwili wake! Kitu ambacho hakiwezekani, muujiza. Watu wataelewa kuwa hiyo wallet ina hirizi za nguvu ya giza zenye uwezo hata wa kunasa hata risasi!! Halafu anayeandika habari hiyo ni professional journalist mwenye elimu iliyobobea aliyoipata hapa na pale!!Ilikuwa ni vema Dr. Hassan kutuambia kosa lao hasa ni nini? Wameandikaje kinyume na misingi ya Taaluma? Umetoa taarifa ya jumla mno!
Hili swali muulize kisu cha ngariba.Hivi hili gazeti ndio liliandika Ben Saanane anaonekana mtaani walipoulizwa source ya habari hio wakasema eti walikuta ujumbe chini ya mlango hapo ofisini kwao ukieleza ben kuonekana mtaani.
Leo serikali kupitia kwa msemaji wake mkuu, mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, itatangaza kulifungia gazeti la kila wiki la Mwanahalisi.
Habari za uhakika zilizopatikana jana usiku zinaeleza kuwa gazeti hilo liyafungwa kwa sababu zinazoelezwa na serikali - "kuendelea kuandika habari za uongo, uchonganishi na kashfa."
Mkutano wa kutangaza kulipa adhabu gazeti hilo utafanyika saa 4, ukumbi wa MAELEZO, Dar es Salaam.
Hata hivyo, kuna taarifa kuwa mmoja wa wakuu wa nchi amekasirishwa na moja ya makala iliyochapishwa na gazeti hilo, toleo la jana.
Mkubwa huyo alipiga simu kwa wakubwa wa MAELEZO akishangaa kwanini hadi jana jioni hajasikia gazeti hilo kufungwa ama kufugwa.
Tusubiri
Kwani ndg Kisu ni kube?Hili swali muulize kisu cha ngariba.