Maajabu , hivi si mlisoma albadir ? Acheni watakufa itawamaliza wote. Wasipokufa aibu itarudi kwa aliyesoma albadir.Wauaji wanakimbia kivuli chao
Kama wameandika uwongo sawa, ila Kama wameandika habar isiyoipendeza serikal hapana.
Yatayafungwa vizuri sana na hakuna hasara yeyote itakayo ipata Serikali. Wajirekeishe tu. Hakuna shida yeyote kujiweka sawa na utawale. Taarifa ni taarifa tu, mbwembwe ni malemboBaba Bashite hajiamini kabisa, anafikiri anaweza kupata usingizi akifunga magazeti yote.
Hawa Mwanahalisi waliwahi kuandika Uongo kwa Miaka 7 kuwa Lowassa ni Fisadi wakaandika Lowassa kampa Zitto 200 Million ili aivuruge Chadema halaf Rais Dhaifu wa wakati huo akawa anawaachia tu
Wakaandika Ridhwaan anashirikiana na Lowassa na Rostam ili ampindue Baba yake kwny Urais
Leo wamekuja na uzushi Mwingine Habari ya Juu kabisa Eti Moja ya Risasi alizopigwa Lissu ilinasa kwny Wallet yake
Hivi uhuru hua linanunuliwa au wanatimiza wajibu wa publication?Uhuru na Mzalendo liliandika kwa miaka kumi kuwa CCM italeta maisha bora kwa kila Mtanzania miaka imepita maisha bora hakuna ila hata kupewa onyo hawajapewa
Uhuru na Mzalendo liliandika kwa miaka kumi kuwa CCM italeta maisha bora kwa kila Mtanzania miaka imepita maisha bora hakuna ila hata kupewa onyo hawajapewa
Yatayafungwa vizuri sana na hakuna hasara yeyote itakayo ipata Serikali. Wajirekeishe tu. Hakuna shida yeyote kujiweka sawa na utawale. Taarifa ni taarifa tu, mbwembwe ni malembo
Magazeti ya Uhuru na Mzalendo yalikuwa yanaandika kwa miaka kumi kuwa CCM italeta maisha bora kwa kila Mtanzania miaka imepita maisha bora hakuna ila hata kupewa onyo hawajapewa
Kumbe haikunasa?Hawa Mwanahalisi waliwahi kuandika Uongo kwa Miaka 7 kuwa Lowassa ni Fisadi wakaandika Lowassa kampa Zitto 200 Million ili aivuruge Chadema halaf Rais Dhaifu wa wakati huo akawa anawaachia tu
Wakaandika Ridhwaan anashirikiana na Lowassa na Rostam ili ampindue Baba yake kwny Urais
Leo wamekuja na uzushi Mwingine Habari ya Juu kabisa Eti Moja ya Risasi alizopigwa Lissu ilinasa kwny Wallet yake