Halafu eti wanamtumia slaa kujaribu kuzuia mabadiliko hayo, eti wamemnunulia muda mwngine leo star tv usiku.
Sisi hatuna muda wa kijinga kumsikiliza huyo mfa maji anayesaliti matarajio ya watanzania masikini wanaoteseka katika dimbwi la umasikini. Huyu jamaa anageuka na kuwa mtu hatari sana hata kuliko mfumo wa kifisadi wa ccm. Anatumika kama condomu ili kufanikisha malengo ya wakoloni weusi wanaowatesa akina amam masikini na vijana waganga njaa waliojazana mitaani na vijijini. Watazania wenzangu achaneni na huyu yuda,,, tambueni kuwa ni bora kuongozwa na fisadi mmoja aliye nje ya ccm, kuliko kuendelea kutawaliwa na mafisadi alfu moja walio ndani ya ccm. Nyerere alitabiri watanzania watayatafuta mabadiliko na kuyapata nje ya ccm, na lowassa huyu hapa kutimiza unabii huu,,, sasa linaibuka liyahudi limoja lililoaasi, linataka kuzuia kutimizwa kwa unabii huu, kama vile alivyojaribu kumzuia yesu kwenda yerusalemu, baada ya kushindwa akamsaliti kwa vipande vya fedha,,,, usaliti ni dhambi mbaya, yuda alijinyonga akaanguka akapasuka matumbo, na hata watawala walioamhadaa hawakujitokeza kwenda kumzika,,, hii ni dhambi mbaya,,, mmeteseka kwa pamoja kwa muda wote kuleta mabadiliko, tunakaribia kuingia yerusalemu huyu yuda anakuja na kutaka kutuzuia kwa ulaghai,,,, hapana haiwezekani,,,, tunataka mabadiliko,,, na tutayapata kwa namna yeyote ile.
Lowasa ndiyo sio msafi kihistoria, lakini sasa yupo nje ya mfumo mchafu, amekuja kwetu kushiriki ukombozi,, tunampokea atuongoze kuelekea mabadiliko. Hata mandela alishirikiana na makaburu kuleta mabadiliko afrika kusini, makaburu ambao hawakuwa tu mafisadi bali wauaji na wabaguzi, mandela akawasemehe, akawapokea wakaleta mabadiliko. Kwanini iwe nongwa kwa lowasa, hatutki, hatutamsikiliza yuda slaa,,,, kwanza muda huo tutakuwa itv kuangalia kipindi cha kipima joto. Pole yuda hatukuungi mkono. Tunajua unahasira ulitaka madaraka, ura uroho, wewe ni mropokaji, umejaa wivu na husda, unaterekeza hadi familia,,, hatutakusikiliza.
[/quote]