Wamepata nauli ya kuanzia maisha wamesepa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,775
699,202
Tanzania bwana 1417222279459.jpg
 
Huwezi kuwauzia waluguru maembe kwenye friji shs 10000 wakati kwenye pakacha mia tan unapata dodo fresh. Itabidi tu uondoke.
 
Preta ukifanya IN GOOD FAITH hakuna kitakachoharibika ila ikiwa tofauti AIBU NITAONA MIMI

Sitaharibu hata tone.........wachagga wote tuna uzoefu na pesa.........wee angalia tu mfano......escrow kuna mchagga.......?.........nini imetokea.........?........mi cashier bana........
 
Hahahahaaa sitaki pressure za eskoro SAA hizi, ile kabila ni noma aisee walijigaiya tafikiri ndizi bukoba shambani
 
Wangewashirikisha wachagga noma isingekuwa kubwa namna hii...........wangesaidika........
tatizo uzoefu............
 
Halafu ingekuwa kimyakimya lakini ile kabila kwa misifa dully sykes kazingiziwa
 
Back
Top Bottom