The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,409
- 1,812
Hizo lock ni ngumu kuzielekeza hapa maana baadae kidogo nitahitaji kuwa na kabiashara fulani hivi nafikiri inaweza kunisaidia..Nilijua haya mageti ya sasa ni mazuri kweli kumbe ni heri ya zamanimkuu ukitaka kutengeneza hilo geti nicheck nikueleze hizo lock nadhani ni msaada mkubwa sana zitakusaidia unatakiwa umuelekeze fundi wakati anatengeneza hilo geti jinsi ya kuweka
yaani sijui nieleze vipi ila wale wezi wakija mara nyingi wanakata kufuri au kuichokonoa mpk inafunguka huwa wanatumia mikono miwiriHizo lock ni ngumu kuzielekeza hapa maana baadae kidogo nitahitaji kuwa na kabiashara fulani hivi nafikiri inaweza kunisaidia..Nilijua haya mageti ya sasa ni mazuri kweli kumbe ni heri ya zamani
Ubaya wake unaweza imarisha geti wao wakatoboa bati!!yaani sijui nieleze vipi ila wale wezi wakija mara nyingi wanakata kufuri au kuichokonoa mpk inafunguka huwa wanatumia mikono miwiri
sasa hiyo kufuri unafungia kwa ndani na unafunga na mkono mmoja sasa wao itakuwa kazi kuifungua 7bu hawapendi usumbufu na wanaenda kwa muda labda watumie moto wa gesi
kingne unaweka vitasa vya geti za kufunga mara tatu ambazo zinauzwa tshs elf45 za FINLAND hizo ata wachokonoe vipi hazifunguki 7bu ukilazimisha zinablock hata wewe zinaweza kukugomea kama ukiziilazimisha sana hizi unaweka mbiri juu na chini araf juu unapitishia ufito wa chuma hata wakisema wakate na msumeno hawawezi 7bu upenyo umeuziba mana wakishindwa kuichokonoa kufungua mara nyingi hutumia msumeno kukata
araf nje sasa ndo unaweka kufuri za kupiga alram maximum kufuri ni 8
2 zinakuwa ndani sita nje katika hizo 2 unaweka za alram kwa nje
vitasa vya geti viwili
yaan ni simple tu siyo gharama kubwa ila mara nyingi watu udharau nwishowe wanakuja kujuta wakishapata hasara
kwa hayo maelezo nadhani ukimpata fundi stadi wa mageti anakuelewa bila shida
nini bati hata ukuta wakiamua wanato oboa ila wizi wa namna hiyo sasa hivi hakuna kumbuka hawapendi usumbufu wala makelele na wanakwenda na muda kuna fremu km mbiri walichemka mwisho wakaishia kukata tu kufuri za nje wakatimkaUbaya wake unaweza imarisha geti wao wakatoboa bati!!
mkuu ukitaka kutengeneza hilo geti nicheck nikueleze hizo lock nadhani ni msaada mkubwa sana zitakusaidia unatakiwa umuelekeze fundi wakati anatengeneza hilo geti jinsi ya kuweka
ila yote ni katika kujihami tu ila wezi wanambinu nyingi wakiamua
ila ukijidhatiti watakuogopa ukitaka unaweza ukatega UCHAWI
Camera sio kitu mkuu camera sio suluhu,angalau kuweka mlinzi, maana anaekuibia inawezekana ni mtu wa karibu sana, na ameshakuona una kauzembe fulani cha kudhibiti mali zako na ndo maana anarudi kila wakati, ukiweka camera utajidanganya atatafuta njia tofauti kama kuvaa mask nk,
nini bati hata ukuta wakiamua wanato oboa ila wizi wa namna hiyo sasa hivi hakuna kumbuka hawapendi usumbufu wala makelele na wanakwenda na muda kuna fremu km mbiri walichemka mwisho wakaishia kukata tu kufuri za nje wakatimka
ila ukitaka hata bati unaimalisha ipo mbinu pia
Bidhaa za milioni 20 afu hakuna ulinzi madhubuti?
yaani sijui nieleze vipi ila wale wezi wakija mara nyingi wanakata kufuri au kuichokonoa mpk inafunguka huwa wanatumia mikono miwiri
sasa hiyo kufuri unafungia kwa ndani na unafunga na mkono mmoja sasa wao itakuwa kazi kuifungua 7bu hawapendi usumbufu na wanaenda kwa muda labda watumie moto wa gesi
kingne unaweka vitasa vya geti za kufunga mara tatu ambazo zinauzwa tshs elf45 za FINLAND hizo ata wachokonoe vipi hazifunguki 7bu ukilazimisha zinablock hata wewe zinaweza kukugomea kama ukiziilazimisha sana hizi unaweka mbiri juu na chini araf juu unapitishia ufito wa chuma hata wakisema wakate na msumeno hawawezi 7bu upenyo umeuziba mana wakishindwa kuichokonoa kufungua mara nyingi hutumia msumeno kukata
araf nje sasa ndo unaweka kufuri za kupiga alram maximum kufuri ni 8
2 zinakuwa ndani sita nje katika hizo 2 unaweka za alram kwa nje
vitasa vya geti viwili
yaan ni simple tu siyo gharama kubwa ila mara nyingi watu udharau nwishowe wanakuja kujuta wakishapata hasara
kwa hayo maelezo nadhani ukimpata fundi stadi wa mageti anakuelewa bila shida
Nacho kusihi ni kubadirisha mikakati, achana na hawa walinzi fake unakuta mlinzi kaenda age ndo unampa alinde, chukua walinzi wa kimasai ati achana na hawa walinzi nyororo na wapiga deal, inakuwaje majambazi wanavamia walinzi wapo na unamkuta hana hata jeraha au ngeu.. Kingine ukiweka CAMERA usimshilikishe mlinzi wala yoyote dukani hata anaekuzia duka weka kimya kimya na zifiche, kingine camera weka za maana zile unazo weza ukazificha na mega pixel kubwa inayo zoom haswa na hasione mtu ukiificha... Utaniambia kama matukio yataendelea...Ni kweli kabisaaa mkuu ila hata wakati wamekuja kuiba mara zote 2 kulikuwa na walinzi mara ya kwanza mlinzi aliulizwa akasema alikuwa amelala hakusikia chochote na mara ya pili mlinzi anasema walimwambia asipige kelele....ni mchezo umefanyika kwa kiasi kikubwa sanaaa...na mpaka sasa kuna mlinzi sijui hata nitajilinda vipi maana walinzi wenyewe naona hawana msaada wowote...
tukubaliane kimsingi kwamba walinzi wako wanakula njamaMavipunda Mkuu kama umefatilia hii na kuisoma utaona nimesema toka mwanzono mlinzi aliwepo tena wawili tofauti mara zote 2 mara ya kwanza walivyokuja kuiba mlinzi alisema hakusikia alikuwa amelala na mara ya pili anasema walimwambia asipige kelele akae kimya