Mungu anakupenda mtoto wake mpendwa anakutaka ubadili biashara usiuze vileo tena.Wakuuu naombeni msaada wenu kwa hali yoyote nipo tayari kuingia gharama ikiwezekana,nilikuwa na dula la vinywaji vikali maeneo ya kinondoni ila bahati mbaya sijui mchezo ulifanyika na muuzaji wakaiba duka zima vitu vikawa vimebaki vichache sanaa... sasa hivi tena kama siku 3 zimepita wamekuja wamekata makufuli wamevunja tena na kuiba kila kitu hawajaacha hata kitu kimoja nimeingia...
Mara ya kwaza waliiba vitu ya million 20 na kitu nikajikaza nikanunua tena sikutaka shari ila baada ya kujaza tena duka sasa hivi wameiba tena vitu kama vya 15M vyote wamebeba naomba msaada wenu nipo tayari kumtoa mtu kafara au kama kuna mganga yoyote yupo tafadhali naomba mnisaidie kwa hili inauma sanaa unapo fight kutafuta hela kuinvest alafu watu wanaibaa kirahisi naombeni mnisaidie nini nifanye..
Police wamesema hawawezi kunisaidia kwa chochote labda niwe na ushahidi sasa ushahidi nitaupata wapi na wenyewe kazi yao?roho inauma sanaa...
Kwa mganga mkuu ni kumgeukia Mungu tu ndio Mganga pekee anaeweza kukupa msaada wa uhakika wengine watakuchuna tu.
Nimecheka sana daaaa jf raha sanaMungu anakupenda mtoto wake mpendwa anakutaka ubadili biashara usiuze vileo tena.
Pole sana mkuu ila kumbuka vyote 2navyovtafuta dunian vtapta na 2taviacha...umekuja mavumbi na mavumbin utarud!!
We km vp jpange upya utafute vngne
Wakuuu naombeni msaada wenu kwa hali yoyote nipo tayari kuingia gharama ikiwezekana,nilikuwa na dula la vinywaji vikali maeneo ya kinondoni ila bahati mbaya sijui mchezo ulifanyika na muuzaji wakaiba duka zima vitu vikawa vimebaki vichache sanaa... sasa hivi tena kama siku 3 zimepita wamekuja wamekata makufuli wamevunja tena na kuiba kila kitu hawajaacha hata kitu kimoja nimeingia...