Muda utaongea dadeki.Kumkoma nyani jiladi..!
Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi ama la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!
Ninanusa series of bombardments (Mlipuko wa tamthiliya) in the near future.Niliwahi kuingizwa cha kike!
Nikachomekewa demu, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia kuumbuliwa na aibu ya mwaka! Kuwafuata walioniiletalea msala wakanikimbia!
Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4.. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana! Haufai haufai haufai.. Vipi hiyo mingine 31 ya siri?
Inasemaje?
Itavuja lini?
Itasambazwa lini?
Masharti yake ni yapi?
Nknk
Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32.. Labda kwenye eneo husika
Miundo mbinu reli
Miundo mbinu airports
Miundombinu barabara
Miundombinu mawasiliano
Kilimo
Ufugaji
Maliasili madini
Maliasili misitu
Maliasili mbuga
Maliasili utalii
Maliasili maeneo ya kihistoria
Kodi
Utawala
Siasa
Elimu
Imani
Mingine siifahamu[emoji3064]
Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga
Likikosea njia
Likifanya ajali
Likivunja sheria
Lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!
Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali wameshika kwenye mpini!
Kumkoma nyani jiladi..!
Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi ama la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!
Sent using Jamii Forums mobile app
VAR haitaruhusiwa kwenye mtanange huo, maamuzi yote yatatolewa na refa wa mchezo huo, AKifuata tearms and conditions 18 za KABUMBUTimu ya Mpira wa miguu ya mbuzi Mee kufikia kileee Cha world cup 2025, baadhi ya wachezaji itawalazimu kurudisha jezi Kwa kipa, hii ni kutokana na falsafa za kocha Darwin
ukikaidi ya hao ma-mastermind ndo unakufa,asa yeye afanyeje!!!Niliwahi kuingizwa cha kike!
Nikachomekewa demu, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia kuumbuliwa na aibu ya mwaka! Kuwafuata walioniiletalea msala wakanikimbia!
Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4.. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana! Haufai haufai haufai.. Vipi hiyo mingine 31 ya siri?
Inasemaje?
Itavuja lini?
Itasambazwa lini?
Masharti yake ni yapi?
Nknk
Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32.. Labda kwenye eneo husika
Miundo mbinu reli
Miundo mbinu airports
Miundombinu barabara
Miundombinu mawasiliano
Kilimo
Ufugaji
Maliasili madini
Maliasili misitu
Maliasili mbuga
Maliasili utalii
Maliasili maeneo ya kihistoria
Kodi
Utawala
Siasa
Elimu
Imani
Mingine siifahamu[emoji3064]
Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga
Likikosea njia
Likifanya ajali
Likivunja sheria
Lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!
Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali wameshika kwenye mpini!
Kumkoma nyani jiladi..!
Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi ama la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitema nchale! Ukimeza nchale! Labda umumunye..![emoji23]ukikaidi ya hao ma-mastermind ndo unakufa,asa yeye afanyeje!!!
Inawezekana?????[emoji56][emoji56]Niliwahi kuingizwa cha kike!