The biggest Loser in the history of this country . He won the Battle BUT lost the War. Kaanza kuomba kura kwa wananchi wakati muda bado. Ni sawa na mtu anotaka kuagiza gari ya gharama Japan halafu akaanza kulipa ushuru Tra wakati gari yenyewe ata hajanunua.
Ivi alicalculate risk kabla!?
Angepata hela ingerudi ndani ya mwaka tu.
Ivi alicalculate risk kabla!?
Wale ni marafiki wakubwa na wote waliwai kukiri kua marafiki,bifu lilitoka wapi tena?
Bifu lilianza kwenye Kikao cha Halmashauri kuu pale Lowassa alipojipanga kujibu madai ya Richmond kwa kumhusisha Rais kuwa alikuwa anajua kila kitu, kipindi hicho anamkabili Rais wajumbe wenzie wa NEC walikuwa wameacha On simu zao ili waandishi wasikie kila kitu kesho yake wakairipoti, jk nae akalipa kwa kuja na Kuvuana magamba. 2011 iyo ndo vita ikapamba moto
Kati ya watia nia ya urais Lowassa ndie aliongoza kwa uekezaji kwenye dhamira yake kuliko wote 42.
1. Kuanzia mda aliotumia kusaka urais alianza mapema kuliko wote na alifanikiwa kujenga mazingira mazuri.
2. Misaada aliyotoa kwenye nyumba za ibada kama misikitini na makanisani.
3. Kwenye harambee mbalimbali
4. Mikutano ya bodaboda.
5. Gharama za mikutano ya kutangaza nia ni babkubwa kuliko wote.
Apa CCM wangeangalia na kumpa ata miaka 5 tukaona angewafanyia
nini watanzania.
Siamini kabisa kama atakubali kua ndio basi Iwe amekosa lazima kuna maamuzi magumu atayafanya.
Sio mbaya tuombe uzima ili agombee tena Awamu ya sita mwaka 2025-2030.
Mie nilidhani anaendeleza falsafa ya KUTOA NI MOYO, na kanisani kwetu kuna harambee tunataka kumwalika maana ana moyo wa utoajiKati ya watia nia ya urais Lowassa ndie aliongoza kwa uekezaji kwenye dhamira yake kuliko wote 42.
1. Kuanzia mda aliotumia kusaka urais alianza mapema kuliko wote na alifanikiwa kujenga mazingira mazuri.
2. Misaada aliyotoa kwenye nyumba za ibada kama misikitini na makanisani.
3. Kwenye harambee mbalimbali
4. Mikutano ya bodaboda.
5. Gharama za mikutano ya kutangaza nia ni babkubwa kuliko wote.
Apa CCM wangeangalia na kumpa ata miaka 5 tukaona angewafanyia
nini watanzania.
Siamini kabisa kama atakubali kua ndio basi Iwe amekosa lazima kuna maamuzi magumu atayafanya.
kama vipi watu wawe waungwana wamrudishie hela zake huyu mzee zimuuguze uguze kidogo maana hali yake kiafya sio nzuri