Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 929
Kosa lake kubwa ni kupambana na Jk otherwise angepata anachotaka, kila aliekuwa na bifu na Rais au Ridhwan alikuwa Team Lowassa, alisahau kuwa Sumaye, Mbowe na Slaa wote wanatoka eneo moja walijaribu kumkabili huyu Mkwere wakashindwa nae anatokea kulekule akatumia njia zile zile.
Wale ni marafiki wakubwa na wote waliwai kukiri kua marafiki,bifu lilitoka wapi tena?
The biggest Loser in the history of this country . He won the Battle BUT lost the War. Kaanza kuomba kura kwa wananchi wakati muda bado. Ni sawa na mtu anotaka kuagiza gari ya gharama Japan halafu akaanza kulipa ushuru Tra wakati gari yenyewe ata hajanunua.
Alichokua anajaribu kufanya EL ni uwekezaji ktk siasa.sasa limebuma.mitaji aliyokopa kushnei. Nadhan asubiri kufa ili aje awekewe maua ya dhahabu
Siasa ni mchezo mchafu sana lakini ni mzuri sana kwa wanaojua kuucheza,wapambe wake waliamua wampige chini Membe na kura zote zikaelekea kwa Magufuli,atakuwa kama familia ya Oginga tangia baba sasa mtoto wote wanaukosakosa "ukubwa"
Bifu lilianza kwenye Kikao cha Halmashauri kuu pale Lowassa alipojipanga kujibu madai ya Richmond kwa kumhusisha Rais kuwa alikuwa anajua kila kitu, kipindi hicho anamkabili Rais wajumbe wenzie wa NEC walikuwa wameacha On simu zao ili waandishi wasikie kila kitu kesho yake wakairipoti, jk nae akalipa kwa kuja na Kuvuana magamba. 2011 iyo ndo vita ikapamba moto
Ivi alicalculate risk kabla!?