Wanataka waone anawasiliana na nani. Yaani kupitia simu zake na laptop, watagundua watu wake wa karibu Serikalini. Mwanzo na Mwisho wa CCM. Huwezi mvua mtu Uanachama bila kumpa nafasi ya kumsikiliza. Samia katumia Uamuzi wa Hasira na Umbumbumbu.Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?
Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?
Itazaa matunda? Matunda gani hasa?
Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?
Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?
Itazaa matunda? Matunda gani hasa?
Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
mbegere ya nyegereHii ni chai ama mbege!😯
Yaani ikisharia kengere,mbegere ya nyegere
Mbege mbe kanyiHii ni chai ama mbege!😯
Meku vipi?Mbege mbe kanyi
Safi bwasheeMeku vipi?