Wamekataa kuzima mitandao ya kijamii

Wamekataa kuzima mitandao ya kijamii

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
Wahuni wa CCM wamekataa kuzima mitandao ya kijamii eti wanadai na wao wanapata taarifa za waandamanaji kwenye hii mitandao ila wanapima upepo mpaka baadaye usiku kama hali itakuwa ngumu na watakuwa wameanza basi watazima mtandao ili kusiwe na mawasiliano kabisa. chukua hiyo kijana mwenzangu
 
Wao wazime hata sasa hivi. Tupo mbele ya mda sanaaa
 
Katika nchi unazimaje mitandao , yaani sehemu ya kupata vyanzo mbalimbali vya afya ya nchi unazima , huu ni utoto , leo ikitokea changamoto huko vijiji vya mbali una pata mara moja taarifa sio subiri TBC iweje uzime mitandao ya kijamii kama kweli hupo na fikra pevu
 
Back
Top Bottom