permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,431
- 15,221
Hii siyo kweli, kifungu cha 160 bila kukosea kinazungumzia dhana ya ndoa, (presumption of marriage) kwamba huo muda ukipita na kama walikuwa wanaishi maisha ambayo yanaonyesha kama walikuwa wanaishi kama mume na mke basi huchukuliwa kuwa walikuwa ni wanandoa. Ila pia ikumbukwe hii siyo ndoa kwani yoyote kati ya hawa hawezi kuomba kutengana au talaka na zaidi dhana hii ya ndoa hutumika kama utetezi (defense na siyo kigezo cha kushtaki.Hakuna kitu kama hicho.Sheria ya ndoa ilipopitishwa mwaka 1971 ilisema hivi kwa wale walioishi miaka miwili na zaidi kabla ya sheria hiyo ya ndoa kupitishwa watambuliwe kama wana ndoa.Baada ya sheria ya ndoa kupitishwa 1971 ina maana kuanzia hapo mtu anatakiwa afunge ndoa kutambuliwa kama ni mke au mume .Hao sio mke na mume hata kama wameishi miaka 20
Hata mimi ninayo, nawashangaa hao wanaokukomaliaVitu vya kawaida jamani....kwani kuna Range ngapi mjini humu!!....hizo range zinamilikiwa na watu sio nyani na hao watu miongoni mwao ndio kina sie....hv ni kweli kumbe JF wamejazana watu waliochoka sana!!....range ni kigali tu....labda ungeniuliza toleo la mwaka gani....aah jameni!
Waongea ukweli mtupu.Wala usishawishike; endelea hivyo hivyo na msimamo wako
Nenda katafute familia za ndugu/rafiki zako ambao wameshafariki; afu angalia hao ndugu wa damu ni wangapi wana mchango kwenye maisha ya watoto wa marehemu. Jibu kaa nalo
Huo ulazima wa mali kugawana sio lazima, inaweza kuwepo Exception katika hilo jambo. Mfano, mwanamke alikuwa na mahusiano na mwanaume mwingine ikapelekea hata kupata mtoto huko nje huku akiwa na mwanaume huyu aliyeishi nae, ndugu hapo utalia utakavyolia hutopata hata Mia NyekunduKuikomboa nchi hii bado kuna safari ndefu sana ,nimejaribu kufuatilia michango ya members karibu wote ,yaani nimesikitika sana baadhi kutokujua vitu vidogo kisasi hichi ambavyo ni very basic na vipo kwenye public domain ,hauitaji kuwa lawyer kujua kuwa hapo Mali lazima wagawane .
Mkuu umenifurahisha duh, kwa hasira imebidi upaki range.Ficha ujinga kaka....utachekwa na wanaojua...kwanza hatuna sheria ya ndoa ya mwaka 1972....Tz tuna sheria ya ndoa ya mwaka 1971....iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002....kifungu cha 160(1)....kipo wazi kimezungumzia presumption of marriage....to quote a few words Kwa faida yako kinanasema......where it is proved that a man and woman hv lived together for two years or more,in such circumstances to hv acquired a reputation of being husband and wife,there shall be rebuttable presumption that they were duly married...huwezi amini nimepaki range pembeni nakujibu ww...
Hakuna kitu kama hicho. Tafuta kitabu cha sheria ya ndoa 1971, hiyo dhana yako utaiondoa.Ukisha ishi na mwanamke/mwanaume kinyumba zaidi ya miaka 2 hiyo ni ndoa tayari Presumption of marriage....161 of LMA...kama sikosei
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji122][emoji122][emoji122]. Upo sahihi 100% mkuu.Hakuna kitu kama hicho.Sheria ya ndoa ilipopitishwa mwaka 1971 ilisema hivi kwa wale walioishi miaka miwili na zaidi kabla ya sheria hiyo ya ndoa kupitishwa watambuliwe kama wana ndoa.Baada ya sheria ya ndoa kupitishwa 1971 ina maana kuanzia hapo mtu anatakiwa afunge ndoa kutambuliwa kama ni mke au mume .Hao sio mke na mume hata kama wameishi miaka 20
Huna unachokijua. Embu acha kudanganya watu hapaNdio pasipo shaka yeyote,Sababu huyo mama na huyo mwanamume ni mtu na mzazi mwenzi sio mtu na mumewe.Kwa hiyo mali zilizo kwa jina lake ni zake yeye kama yeye
You are correct!!!!Saaaafiiii.... asante kwa kutusaidia na wengine.
Ulisemalo ata Mimi ninakubaliana nalo, haiwezekani upewe nafasi ya kufunga ndoa kisheria au kidini, wewe kwa sababu unazozijua wewe haujataka kufanya hivyo, baadae matatizo yakitokea unataka upate haki kama MTU aliyefunga ndoa kwa kigezo cha presumption of marriage.Hakuna kitu kama hicho. Tafuta kitabu cha sheria ya ndoa 1971, hiyo dhana yako utaiondoa.
Hata mkiiahi miaka mia bila ndoa ni ubatili mtupu, na hakuna anayebanwa na sheria ya ndoa.
Kama kuna risiti ya manunuzi kila mmoja atasunda cha kwake.
Nyumba itaangaliwa hati nk nk.
As far as wamekaa pamoja zaidi ya miezi sita Basi hiyo ni ndoa na katika ugawanaji wa Mali atajulikana Kama mke so ni pasu pasuJF Habarini za asubuhi!!!
Rafiki yangu ni mfanya kazi na mkewe ni mfanyakazi pia wameishi miaka saba pasipo kufunga ndoa ya aina yoyote na sasa wanamgogoro wanataka kuachana wananyumba,wanamagari,viwanja na vingine vingi.
Je? Sheria ikoje kama wakiachana kwa sababu mwanamke anasema atafuata sheria na yeye ndo anatoa msukumo wa kutaka kuondoka. Wanasheria mnasemaje kuhusu Mali walizochuma je watagawana au Vipi? Kwenu wataalam
SafiMzinifu mwanume na mzinifu mwanamke ambao hawajafunga ndoa wapige mijeledi mia kila mtu alafu wahamishwe mji.
Tafuta maamuzi ya mahakama ya karibuni kwenye hoja hiyo sio kitabu...Hakuna kitu kama hicho. Tafuta kitabu cha sheria ya ndoa 1971, hiyo dhana yako utaiondoa.
Hata mkiiahi miaka mia bila ndoa ni ubatili mtupu, na hakuna anayebanwa na sheria ya ndoa.
Kama kuna risiti ya manunuzi kila mmoja atasunda cha kwake.
Nyumba itaangaliwa hati nk nk.