π "Miaka 60+ ya uhuru bado tunajadili barabara, maji na umeme, halafu wewe una miaka hiyo hiyo 60+ unalalama tuππ. Basi tuambie, kati ya Taifa na tumbo lako, nani aliyefanya uzembe? Au ulikuwa unahifadhi umeme kwenye tumbo mpaka ukasahau kuusambaza?" β Alloyce, P.R.