Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,137
- 16,480
Hivyo TUSIJENGE BARABARANI.....eti
Hivyo TUSIJENGE BARABARANI.....eti
hadi nitokwa na machozi nyakati tunaziacha gafla zinakuwa kama historiaDaaah!! Enzi kweli zimepita imebidi niingie Youtube nimekuta watangazaji wengi wa Rfa wamevuta aisee na wengi wamehama,
Mimi hiki ndio kilikuwa kituo changu cha redio ninachosikiliza kuanzia asubuhi nikiamka
1.Ilikuwa inaanza 12 asubuhi amka na BBC hadi 12:30 asubuhi inafatia Magazetini asubuhi unakutana na Agbert Mkoko,Tom Chilala (sijui wako wapi kwa sasa hawa) na Ahmed Ally huyu wa simba saivi
2.Saa moja kamili inafata Matukio na Rebecca Molesi au Rahabu Fredy hadi saa moja na Dkk 20 inaanza michezo na Steve moyo Mchongi,Deokaji Makomba au Baruan Muhuza
3.Mbili kamili Mukhtasari wa habari na Rebeca molesi halafu kinafata Sindano tano kali za moto na Freduwaa
4.Saba kamili Show time na akina Glory Robinson toto la mama sabuni na wenzake saa kumi anaingia Baragaza na Mambo mambo
Daaah Time flies tuishi tu wakuu
Fredrick Bundala alihamia KAHAMA fm, ila baadae alirudi tena RFA miaka ya 2016. Kwasasa sijui yuko wapi huyo jamaa. Alivyorudi mara mojamoja alikuwa anashika kipindi cha Mambomambo.inaonesha wa mara ya kwanza walikuwa wanavumilia ila baadaye wakashindwa uvumilivu.
Mwaka kama sio 2012 waliondoka kwa mkupuo Fredrick Bundala, Kid Bwoy, Irene Tilya na mwingine wa kiss fm baadaye wakafuata akina Ezden the rocker, fredwaa na rahab. Akaja Azam akakomba kibao akina Yahya Mohamed, Hassan Mvula, Steve Moyo, Baruan Muhuza nk.
Kutoka hapo RFA haijarudi kwenye mstari.
mwanzoni nlijua kiss fm sio redio ya tanzania. sasa kuna mmoja anaitwa seba aliondoka capital radio akaja kuanzisha hii ya kuhani musa mwanzoni akaikuza nikajua musa karudi huku na radio ni mpya kabla sijamsikia tena nasikia mambo ya kiroho ung'enge ulikuwa mwingi sanaKuna jamaa alikuwa anapiga ngeli hapo kiss fm utafikiri akina Wayne Rooney, alikuwa anatangaza usiku saa nne aliitwa Bory the Pilot.
utaachiwa laana usilale na hela tena ohoo.Hivyo TUSIJENGE BARABARANI.....eti
Zile vibe za Kiss Fm zilikuwa hazijakaa kibongo kabisa.mwanzoni nlijua sio redio ya tanzania. sasa kuna mmoja anaitwa seba aliondoka capital radio akaja kuanzisha hii ya kuhani musa mwanzoni akaikuza nikajua musa karudi huku na radio ni mpya kabla sijamsikia tena nasikia mambo ya kiroho
Sasa si tunaambiwa Dunia tunapita ..na sehemu tunayopita si ni barabarani/njiani.... Unajengaje barabarani sasaaa.....utaachiwa laana usilale na hela tena ohoo.
Wajifunze kwa Azam, Rostam, Dewj, Manji. Hawa jamaa wanazingatia sana muendelezo. Ukiwa mfanyabiashara mkubwa, unatakiwa ufanye trial za kukaa pembeni uachie watu wengine waendeshe kampuni yako ili ujue kama kampuni inaweza kuendelea bila ushiriki wako wa moja kea moja. Na ni vema kuchanganya family members na non family members.Sahara media ya Diallo ndio kuishiney
Rfa kifo ,star tv kifo , kiss FM kifo
Huyu mzee kafeli vibaya sana
Ukiangalia hizo media zilikuwa moja kati ya vyombo vya habari bomba kabisa
unmemwelewa kutoka demension tofauti haahaaSasa si tunaambiwa Dunia tunapita ..na sehemu tunayopita si ni barabarani/njiani.... Unajengaje barabarani sasaaa.....
😂😂😂Kha! Kweli Tanzania ni Channel ya vituko huko mbinguni. Sio tu kwa serikali yake, hadi na wananchiHivi Fredwaa alikufaga!? Kuna kipindi niliwahi kumsikia clouds fm.
kabisa kabisa manZile vibe za Kiss Fm zilikuwa hazijakaa kibongo kabisa.
Hapa nilikuwa na Leonard MambombotelaJe, Huu ni Uungwanaaa??
La Hashaa, Huu si Uungwanaaa!!
Huu mwandikoAmelipwaaa anachodai ? Maana boss wake ni zulumati mkubwa sana Africa.....atadai hadi atastaafu hajalipwa.....Hujawahi kusikia jamaa ana kesi kama zote.....halipiii akishinswa amesha declare kufilisila......halipi chochore daaa fiallo tapeliii....mkubwaa sanaa.....
Hilo group la akina Bundala walivyohama RFA walianzisha online radio iliitwa tone radio lakini haikudumu nadhani watz kusikiliza online bado. Baadaye kidbwoy akaenda Clouds, Sky Walker akaanzisha Dizzim tv na baadaye akauza sijui ndio akaanzisha SNS ipo mpaka leo na Irene akaenda East Africa Radio.Fredrick Bundala alihamia KAHAMA fm, ila baadae alirudi tena RFA miaka ya 2016. Kwasasa sijui yuko wapi huyo jamaa. Alivyorudi mara mojamoja alikuwa anashika kipindi cha Mambomambo.
Ilikuwa na nguvu kiasi kwamba hadi iliwalazimu baadhi ya makampuni kutengeneza matangazo ya english maalum kwa kiss fm hata voda hawa wakiwemo. Leo ukiwasikiliza unakuta waganga wa kienyeji wanapewa airtime kinoma yaani kiss imekuwa kama radio ya wilaya huko.Zile vibe za Kiss Fm zilikuwa hazijakaa kibongo kabisa.