Sijali JF-Expert Member Sep 30, 2010 2,589 1,681 Nov 12, 2010 #2 Nimemleta George Bush Bongo....hakuna yeyote anayeweza kufanya hivyo kabla wala baada yangu!
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Nov 12, 2010 #3 Nimeileta timu ya Taifa ya Brazil na nikamfata kaka hadi hotel aliyofikia, nikampa zawadi ya kinyago(ingawa ameitupa kwenye dust bin).tena nilienda mimi na my son. Pia almanusura niilete timu ya Real Madrid.
Nimeileta timu ya Taifa ya Brazil na nikamfata kaka hadi hotel aliyofikia, nikampa zawadi ya kinyago(ingawa ameitupa kwenye dust bin).tena nilienda mimi na my son. Pia almanusura niilete timu ya Real Madrid.
Meale Member Nov 24, 2009 91 0 Nov 12, 2010 #5 .............. lazima ukubali kuliwa kidogo. (sina maana hiyoo)
The Dreamer JF-Expert Member Feb 2, 2009 1,282 20 Nov 12, 2010 #6 Mimi nimekuwa wa kwanza ktk historia ya nchi hii kuchakachua matokeo kupita kiasi cha kistaarabu...mimi ndiyo zaidi
Mimi nimekuwa wa kwanza ktk historia ya nchi hii kuchakachua matokeo kupita kiasi cha kistaarabu...mimi ndiyo zaidi
Kaa la Moto JF-Expert Member Apr 24, 2008 7,903 1,053 Nov 12, 2010 #7 Bwahahahahahahaha si ndio wewe uliyekuwa unazungumza na Obama kwa kusoma lisala uliyoandikiwa na January? kwi kwi kwi kwi
Bwahahahahahahaha si ndio wewe uliyekuwa unazungumza na Obama kwa kusoma lisala uliyoandikiwa na January? kwi kwi kwi kwi
Mfamaji JF-Expert Member Nov 6, 2007 6,631 1,926 Nov 12, 2010 #8 Nilicheza na kupiga pic na boyz two men haaa nani anaweza zaidi yangu
M matawi JF-Expert Member Mar 29, 2010 2,052 242 Nov 12, 2010 #9 Namtafuta anayenilogaga wakati wa uchaguzi 2005 nilianguka mara 2 na 2010 nilianguka mara moja, aah nimesahau ya mwaka huu sijaanguka ni swaumu
Namtafuta anayenilogaga wakati wa uchaguzi 2005 nilianguka mara 2 na 2010 nilianguka mara moja, aah nimesahau ya mwaka huu sijaanguka ni swaumu
Shomari JF-Expert Member Mar 8, 2008 1,112 241 Nov 12, 2010 #10 huyu sio mtu wa kuongelea tena. tutafuteni mada nyingine kuhusu kesho:yield: