Wamatumbi bwana...!

Nimemleta George Bush Bongo....hakuna yeyote anayeweza kufanya hivyo kabla wala baada yangu!
 
Nimeileta timu ya Taifa ya Brazil na nikamfata kaka hadi hotel aliyofikia, nikampa zawadi ya kinyago(ingawa ameitupa kwenye dust bin).tena nilienda mimi na my son.
Pia almanusura niilete timu ya Real Madrid.
 
Mimi nimekuwa wa kwanza ktk historia ya nchi hii kuchakachua matokeo kupita kiasi cha kistaarabu...mimi ndiyo zaidi
 
Bwahahahahahahaha si ndio wewe uliyekuwa unazungumza na Obama kwa kusoma lisala uliyoandikiwa na January? kwi kwi kwi kwi
 
Nilicheza na kupiga pic na boyz two men haaa nani anaweza zaidi yangu
 
Namtafuta anayenilogaga wakati wa uchaguzi 2005 nilianguka mara 2 na 2010 nilianguka mara moja, aah nimesahau ya mwaka huu sijaanguka ni swaumu
 
huyu sio mtu wa kuongelea tena. tutafuteni mada nyingine kuhusu kesho:yield:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom