BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,712
- 6,516
Hawa wamasai wanaonewa sana ni wakati sasa wasaidiwe kudai haki zao kwa namna yoyote ile.Naona Kilosa nako wanalia Aridhi yao kuporwa kwa nguvu na Wawekezaji, sijajua ni wawekezaji wapi hao ila hii inasikitisha sana.
Habari za chini ya kapeti kuna Wazungu pia wanaitaka Longido na Simanjiro, na kwa Longido yule anayeitaka Longido yuko tiyari awajengee nyumba kokote kule ilimuradi waondoke Poli la Longido. Kwa Simanjiro nako kuna kampuni moja ya utalii wa uwindaji wanaitaka ikibidi Simanjiro nzima.
Pia kuna eneo la Monduli nalo Wazungu wanalihitaji sana.