Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,093
- 1,261
Mi nadhani munajishuku tu, wamakonde, wazaramo na etc?? Kila kabila lina Lake ktk jamii. Personally nathink very highly of you guys n proud too. Hao wanaoonyesha Dharau nadhani ni tabia zao kudharau wenginePamoja na kuiingizia nchi matrilioni kupitia utalii. Lakini pindi tu mtu anajua wewe ni mmasai anaanza dharau za ghafla. Kama vile umejinyea. Shida ni nini wandugu? Au kwa sababu tunavaa lubega? Sisi wote ni watanzania.
Aisee!!Nyinyi ni vivutio vya utarii,mjini mnafata nini,kwenu polini
Nani anatumikishwa wewe nguchiro this is a free state kila mtu anao uhuru wa kuishi atakavyo according to the constitution walikuja kukuomba ukombozi?Tutawakomboa wamaasai wetu wote toka utumwani, kama tulivyo wakomboa wabantu na wazigua wa kule Somalia ambao ni vizazi vya watanganyika.
Bila kusahau wenzetu wa kanda ya ziwa!
Ipo siku
Kwa comments zako wewe inaonyesha una IQ ndogo na utakuwa umetoka kikabila cha hovyo mnohamna,mi nawachukia coz wana mambo kijinga alafu wabishi wa hovyo tu.wataishia kufungua mageti tu.
MkuuKwa comments zako wewe inaonyesha una IQ ndogo na utakuwa umetoka kikabila cha hovyo mno
Hata ukimtenga kwani wewe ndo unamsugua ebooo!!na ww liangalie. mi hata dada yangu akiolewa na mmasai namtenga kabisa.
Kuna vik..... Vya hovyo hata IQ zao piaMkuu
na wewe acha hizo dharau, una maanisha kua kuna kabila za hovyo na zisizo za hovyo?! Watanzania ni wamoja acha kuweka standard au class kwenye tribalism haipendezi.
Wewe ni jipu na una tatizo huwezi kuchukia watu wengine bila sababu.hahah,labda ww
Wewe ni jipu na una tatizo huwezi kuchukia watu wengine bila sababu.