Wamasai nao kwa ubishi

Wamasai nao kwa ubishi

MC babuu

Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
69
Reaction score
10
Kijana mmoja wa kimasai alinda dukani akaulizia bei ya soda ilikuwa hivi:
mangi-karibu rafiki,nikusaidie nini?
Masai-shee unisaidie?kwani nimekuambia sina hela?
Mangi-(kimya)
masai-cocacola bei gani?
Mangi-mia sita
masai-nipatie ile ya baridiii
mangi akampa na kufungua masai akanywa nusu na akampa mangi tsh mia tatu na ile soda iliyobaki akaiacha mezani.
mangi-aisee mbona unatoa hela nusu?
Masai-ata soda sijamalisa nimekunywa nusu tu
mangi-hamna hilo lazima utoe pesa yote apa (mia sita) we unafikiri nitapeleka wapi iyo nusu?
Masai-watakuja wateja wengine wanaotaka nusu utawauzia iyo(huku anakimbia)
mangi-hii imekula kwangu sasa naimalia mwenyewe kwa mkopo ntalipa tu.#kwel mang kiboko ila masai zaidi.
 
Dont involve yourself in outdated jokes! or are you yourself outdated? take care.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom