Wamasai mna balaa nyie

Rog3rz

Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
44
Reaction score
26
Mmasai na mwanajeshi wanapigana,,mmasai karusha mkuki mwanajeshi kaudaka kauchomeka chini,,mwanajeshi nae karusha bomu..mmasai kalidaka kalibamiza chini..wajua kilichomtokea.....chaliiiiii
 
Balaa si bomu ni pale alipoagiza cocacola then akamwambia mhudumu bomoa hiyo illipofunguliwa akamwambia bima ya hamusini.
 
Mmasai na mwanajeshi wanapigana,,mmasai karusha mkuki mwanajeshi kaudaka kauchomeka chini,,mwanajeshi nae karusha bomu..mmasai kalidaka kalibamiza chini..wajua kilichomtokea.....chaliiiiii

Wewe ndo unatakiwa utueleze kilichotokea
 
mi nahisi hapo alipandisha mori... akarushwa mpaka heaven! na hakurudi tena!
 
waliokota mwili kwa uma hapo.... labda liwe halikulipuka au liwe lili lipuka vibaya!
 
Masikini eeeeeeeeeero wa watu ndo adios tena mama yeyo hakuoni tena
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…