siku moja nimepanga foleni kwenye benki ya NMB nyuma yangu alikuwekupo mmama mmoja wa kimasai ambaye hatufahamiani,simu yake iliita yule mama akaniita nilipoitika akaniuliza eti hii namba ni ya nani?
kwa nini hukumsaidia kujua ile ilikuwa namba ya nani?
inawezekana yeye hajui kusoma hivo ungemsaidia....au macho yake hayaoni vizuri hivo ungefikiri hivyo na hata kumuuliza ungepata jibu mwishowe ungemsaidia kuliko kutuletea thread................WATCH OUT!!!!!!!
Hii kali.
Kama hajui kusoma ni kwamba hakuweza ku save jina.
Kama jina halikuwa saved ni kwamba ilionekana namba tu.
Je wewe ungeijua vipi hiyo namba kuwa ni ya nani??
kwa nini hukumsaidia kujua ile ilikuwa namba ya nani?
inawezekana yeye hajui kusoma hivo ungemsaidia....au macho yake hayaoni vizuri hivo ungefikiri hivyo na hata kumuuliza ungepata jibu mwishowe ungemsaidia kuliko kutuletea thread................WATCH OUT!!!!!!!
Jamani sasa issue hii inahusianaje na umasai?ingekuwa kila mmasai anafanya alichofanya huyo mama ningekubaliana na wewe,lakini kwa hapo nakushauri utafakari kabla ya kutuma threads!!