Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Mimi najua Tabia za Marekani, hawa watu wanamasilahi yao kila nchi kila mkoa na wilaya. Mimi nadhani utumbuaji huu wa Majipu umewagusa Pakubwa sana.
Natamani kujua mipango yao kwa sasa!
Juzi kati walileta Mbwa zikae Bandalini na Airport sasa sijui watakata kupitisha nini!
Huyu balozi anahangaika kweli na Wizara ya Mambo ya Ndani sijui anatakia nini sisi na Rais Wetu!!
Hawa watu hawawapendi kabisa Magufuri na Mugabe type people!
Mimi sidhani kama tunahitaji msaada sana wa kiulinzi Nchi yetu ipo vizuri! Juzi kati Majambazi walizengua wamekiona cha moto.
Kitu kinachonifanya niwawazie vibaya kwanza ni majigambo yao pili ni maugomvia yao kila sihemu walipotia mguu ni kuna shida kweli kweli hapa tulii tena.
Nimefuatilia sana Ugomvi kati ya Urusi na Marekani
Ushirika kati ya Turkey na Marekani na Turkey na ISIS katika biashara ya Mafuta ya magendo.
Ugomvi kati Iran na Korea kaskazini na Iraq na Libya.
Hetu watuache tupumzike.
Ni hayo tu.
Hii ni myth mi siamini kama kila tukio bovu basi chief architect ni US.. mfano issue ya Libya unaachaje kuwalaumu walibya wenyewe unalaumu Marekani. We should stop this kind of thinking kwamba kila kitu Marekani anaamua.
Hiyo bado ni myth na maneno ya kufikirika. Mwisho wa siku tunasema ni unyumbu wa waarab wenyewe walioharibu nchi zao na hatuwezi tukawapa credit US kwamba ndo waliengineer kila kitu. Big NoObama alivyoingia marekani alikuta nchi kadhaa zipo kwenye lists ya kupigwa na marekani. Obama akaja na idea ya kuwekeza billions kwa activists kwa jina la Arab spring ili kupunguza madhara ya vita amabapo alifanikiwa kuwa kuvunja kabisa zile nchi zile ambazo zilikuwa kwenye list na kubakia nchi kadhaa ambazo mpaka leo zipo kwenye vikwazo vya kiuchumi.
Sasa hatujui next move ya Marekani
Tanzania sio kisiwa. Wakinusa fursa lazima waichangamkie. Inabidi Magufuli awe mjanja kweli. Ikibidi atengeneze kibomu cha nuclear, wasitubabaishe. Uranium si tunayo yakutosha. Mwenzake walimkumbatia akafikiri wanampenda. Awe mwangalifu mpaka na hao wa Vietnamese.Mimi najua Tabia za Marekani, hawa watu wanamasilahi yao kila nchi kila mkoa na wilaya. Mimi nadhani utumbuaji huu wa Majipu umewagusa Pakubwa sana.
Natamani kujua mipango yao kwa sasa!
Juzi kati walileta Mbwa zikae Bandalini na Airport sasa sijui watakata kupitisha nini!
Huyu balozi anahangaika kweli na Wizara ya Mambo ya Ndani sijui anatakia nini sisi na Rais Wetu!!
Hawa watu hawawapendi kabisa Magufuri na Mugabe type people!
Mimi sidhani kama tunahitaji msaada sana wa kiulinzi Nchi yetu ipo vizuri! Juzi kati Majambazi walizengua wamekiona cha moto.
Kitu kinachonifanya niwawazie vibaya kwanza ni majigambo yao pili ni maugomvia yao kila sihemu walipotia mguu ni kuna shida kweli kweli hapa tulii tena.
Nimefuatilia sana Ugomvi kati ya Urusi na Marekani
Ushirika kati ya Turkey na Marekani na Turkey na ISIS katika biashara ya Mafuta ya magendo.
Ugomvi kati Iran na Korea kaskazini na Iraq na Libya.
Hetu watuache tupumzike.
Ni hayo tu.
Sasa wewe ugomvi wa marekani na urusi unakuhusu nini?Mimi najua Tabia za Marekani, hawa watu wanamasilahi yao kila nchi kila mkoa na wilaya. Mimi nadhani utumbuaji huu wa Majipu umewagusa Pakubwa sana.
Natamani kujua mipango yao kwa sasa!
Juzi kati walileta Mbwa zikae kuchunguza Bandarini na Airport sasa sijui watakata kupitisha nini!
Huyu balozi anahangaika kweli na Wizara ya Mambo ya Ndani sijui anatakia nini sisi na Rais Wetu!!
Hawa watu hawawapendi kabisa Magufuri na Mugabe type people!
Mimi sidhani kama tunahitaji msaada sana wa kiulinzi Nchi yetu ipo vizuri! Juzi kati Majambazi walizengua wamekiona cha moto.
Kitu kinachonifanya niwawazie vibaya kwanza ni majigambo yao pili ni maugomvia yao kila sihemu walipotia mguu ni kuna shida kweli kweli hapa tulii tena.
Nimefuatilia sana Ugomvi kati ya Urusi na Marekani
Ushirika kati ya Turkey na Marekani na Turkey na ISIS katika biashara ya Mafuta ya magendo.
Ugomvi kati Iran na Korea kaskazini na Iraq na Libya.
Hetu watuache tupumzike.
Ni hayo tu.
Hiyo bado ni myth na maneno ya kufikirika. Mwisho wa siku tunasema ni unyumbu wa waarab wenyewe walioharibu nchi zao na hatuwezi tukawapa credit US kwamba ndo waliengineer kila kitu. Big No
MagufuriiiiSasa wewe ugomvi wa marekani na urusi unakuhusu nini?
Mimi najua Tabia za Marekani, hawa watu wanamasilahi yao kila nchi kila mkoa na wilaya. Mimi nadhani utumbuaji huu wa Majipu umewagusa Pakubwa sana.
Natamani kujua mipango yao kwa sasa!
Juzi kati walileta Mbwa zikae kuchunguza Bandarini na Airport sasa sijui watakata kupitisha nini!
Huyu balozi anahangaika kweli na Wizara ya Mambo ya Ndani sijui anatakia nini sisi na Rais Wetu!!
Hawa watu hawawapendi kabisa Magufuri na Mugabe type people!
Mimi sidhani kama tunahitaji msaada sana wa kiulinzi Nchi yetu ipo vizuri! Juzi kati Majambazi walizengua wamekiona cha moto.
Kitu kinachonifanya niwawazie vibaya kwanza ni majigambo yao pili ni maugomvia yao kila sihemu walipotia mguu ni kuna shida kweli kweli hapa tulii tena.
Nimefuatilia sana Ugomvi kati ya Urusi na Marekani
Ushirika kati ya Turkey na Marekani na Turkey na ISIS katika biashara ya Mafuta ya magendo.
Ugomvi kati Iran na Korea kaskazini na Iraq na Libya.
Hetu watuache tupumzike.
Ni hayo tu.
Mkuu hapo umekosea saaaaana !!Hii ni myth mi siamini kama kila tukio bovu basi chief architect ni US.. mfano issue ya Libya unaachaje kuwalaumu walibya wenyewe unalaumu Marekani. We should stop this kind of thinking kwamba kila kitu Marekani anaamua.
Ni nchi zipi hizo ambazo zilikuwa kwenye list ya kupigwa mkuu? Nifafanulie twende sawaObama alivyoingia marekani alikuta nchi kadhaa zipo kwenye lists ya kupigwa na marekani. Obama akaja na idea ya kuwekeza billions kwa activists kwa jina la Arab spring ili kupunguza madhara ya vita amabapo alifanikiwa kuwa kuvunja kabisa zile nchi zile ambazo zilikuwa kwenye list na kubakia nchi kadhaa ambazo mpaka leo zipo kwenye vikwazo vya kiuchumi.
Sasa hatujui next move ya Marekani
nakuunga mkono asilimia mia mkuuSamahani lkn,we also don't want Mugabe's type of a leader in our country he is a worse kind of species. We want Magafuli to be just him.
mtu ukiwa huna kitu bhana lazima mambo kama haya lazima yawepo,hata TANZANIA tungekuwa taifa kubwa kama USA lazima tungekuwa tunayafanya haya sema ndo hivyo kwavile cc ni nchi ndogo lazima tulalamike km nch zngne ndog znavyofanya.....labda kama mkuu wewe Anti-America....lakini njuavyo mimi nchi kubwa husaka maslahi kwanjia nyingi tu mbaya na nzuri na c marekan pekee...kuhusu hao waarabu we angalia wnachofanya pale syria,saudi arabia na turkey ndo wanaomwambia marekani kuwa akitaka kuivamia syria wao wako radhi kuprovide troops,UAE na SAUDI walisema ISRAEL ikihitaji kuipiga IRAN basi wao wako radhi kufungua anga zao kwa ndege za israel,Iran inafadhili waasi wa houthi waitoe serikali ya yemen madarakani, waarabu wana matatizo yao mengi tu kwahio nchi kama marekan znatumia hio opportunity kutekeleza mipango yao na wao....Mimi najua Tabia za Marekani, hawa watu wanamasilahi yao kila nchi kila mkoa na wilaya. Mimi nadhani utumbuaji huu wa Majipu umewagusa Pakubwa sana.
Natamani kujua mipango yao kwa sasa!
Juzi kati walileta Mbwa zikae kuchunguza Bandarini na Airport sasa sijui watakata kupitisha nini!
Huyu balozi anahangaika kweli na Wizara ya Mambo ya Ndani sijui anatakia nini sisi na Rais Wetu!!
Hawa watu hawawapendi kabisa Magufuri na Mugabe type people!
Mimi sidhani kama tunahitaji msaada sana wa kiulinzi Nchi yetu ipo vizuri! Juzi kati Majambazi walizengua wamekiona cha moto.
Kitu kinachonifanya niwawazie vibaya kwanza ni majigambo yao pili ni maugomvia yao kila sihemu walipotia mguu ni kunashida kweli kweli hapatulii tena.
Nimefuatilia sana Ugomvi kati ya Urusi na Marekani
Ushirika kati ya Turkey na Marekani na Turkey na ISIS katika biashara ya Mafuta ya magendo.
Ugomvi kati Iran na Korea kaskazini na Iraq na Libya.
Hebu watuache tupumzike.