Wamarekani wamkumbuka Magufuli alivyowalinda Watu wake wakati wa COVID 19, ni Ohio kwenye mkutano wa Trump!

Mtu mmoja kwenye mkutano wa Trump jimboni Ohio amesikika akisema " Zamu hii uwe kama yule Shujaa wa Africa aliyewalinda Watu wake wakati wa COVID 19"

Wengi wametafsiri Mzungu huyo alimaanisha Mwanasayansi Shujaa Magufuli

Nawatakieni Dominica Njema 😄
Magufuli hakulinda watu. Magufuli alisababisha janga la vifo ambavyo havikutangazwa kwa watu wake na mwisho yeye mwenyewe akafariki.
 
Magufuli hakulinda watu. Magufuli alisababisha janga la vifo ambavyo havikutangazwa kwa watu wake na mwisho yeye mwenyewe akafarik

Magufuli hakulinda watu. Magufuli alisababisha janga la vifo ambavyo havikutangazwa kwa watu wake na mwisho yeye mwenyewe akafariki.
Kwani kuna ndugu zako walifariki kipindi cha covid. Ama umeamua ulopoke tu
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kwenye ishu ya Korona shujaa Magufuli alifanya maamuzi magumu sana ambayo yangegharimu maisha ya watu wengi kama mambo yangeenda kinyume; na angebebeshwa lawama kubwa mno! Ni bahati nzuri sana kwamba alikuwa sahihi.

Na ukuu wa kiongozi hupimwa kwa kuchukua maamuzi magumu na yenye risk kubwa kama haya. Ndiyo maana ya ule msemo kwamba bahari isiyo na dhoruba kamwe haijawahi kuzalisha nahodha mbobezi na mwenye ujasiri.

Aendelee kupumzika salama 🙏🏿

Kwani kuna ndugu zako walifariki kipindi cha covid. Ama umeamua ulopoke tu
Nina list ndefu tu waliofariki wakati ule Magufuli alipokuwa amaetoa katazo. Nina ndugu marafiki na watu ninaowafahamu. Nadhani kuwa wewe unaweza kuwa hukuwa na ndugu au kufahamu mtu aliyefariki ndiyo maana unabisha. Sishangai kwa sababu watanzania wengi tuna akili za panya buku, i.e. jambo mpaka likupate ndiyo uamini...
 
Kwenye ishu ya Korona shujaa Magufuli alifanya maamuzi magumu sana ambayo yangegharimu maisha ya watu wengi kama mambo yangeenda kinyume; na angebebeshwa lawama kubwa. Ni bahati nzuri sana kwamba alikuwa sahihi.

Na ukuu wa viongozi hupimwa kwa kuchukua maamuzi magumu na yenye risk kubwa kama haya. Ndiyo maana ya ule msemo kwamba bahari isiyo na dhoruba kamwe haiwezi kuzalisha manahodha wabobezi na wenye ujasiri.

Aendelee kupumzika salama 🙏🏿
Kwa upande wa covid-19 ni A+ mzee alicheza kama pele.
 
Magufuli hakulinda watu. Magufuli alisababisha janga la vifo ambavyo havikutangazwa kwa watu wake na mwisho yeye mwenyewe akafariki.
Baada ya kifo cha JPM hiyo COVID-19 ilienda wapi?

watu milioni tisa mliochanja ndio waliondoa COVID-19?

Kama hakutangaza kwanini sasa hivi wale waliochanjwa COVID-19 ndio wanaongoza kufa na hamtangazi chochote?

Uwe unaficha ujinga huelewi mantiki ya uvio wa COVID-19 ulienga kitu gani kwa sababu ya umasikini wa akili!!!!
 
Mtu mmoja kwenye mkutano wa Trump jimboni Ohio amesikika akisema " Zamu hii uwe kama yule Shujaa wa Africa aliyewalinda Watu wake wakati wa COVID 19"

Wengi wametafsiri Mzungu huyo alimaanisha Mwanasayansi Shujaa Magufuli

Nawatakieni Dominica Njema 😄
Panapo ukweli uongo hujitenga !
Wasema kweli huwa hawapendwi Duniani !
Iko vile na itabaki kuwa vile milele hapa muDunia 🙏🙏
 
Nina list ndefu tu waliofariki wakati ule Magufuli alipokuwa amaetoa katazo. Nina ndugu marafiki na watu ninaowafahamu. Nadhani kuwa wewe unaweza kuwa hukuwa na ndugu au kufahamu mtu aliyefariki ndiyo maana unabisha. Sishangai kwa sababu watanzania wengi tuna akili za panya buku, i.e. jambo mpaka likupate ndiyo uamini...
Pale mtaa wa Kongo angebaki mtu?
 
Kwenye ishu ya Korona shujaa Magufuli alifanya maamuzi magumu sana ambayo yangegharimu maisha ya watu wengi kama mambo yangeenda kinyume; na angebebeshwa lawama kubwa. Ni bahati nzuri sana kwamba alikuwa sahihi.

Na ukuu wa viongozi hupimwa kwa kuchukua maamuzi magumu na yenye risk kubwa kama haya. Ndiyo maana ya ule msemo kwamba bahari isiyo na dhoruba kamwe haiwezi kuzalisha manahodha wabobezi na wenye ujasiri.

Aendelee kupumzika salama 🙏🏿
Naam aendelee kupumzika kwa amani.
 
Mtu mmoja kwenye mkutano wa Trump jimboni Ohio amesikika akisema " Zamu hii uwe kama yule Shujaa wa Africa aliyewalinda Watu wake wakati wa COVID 19"

Wengi wametafsiri Mzungu huyo alimaanisha Mwanasayansi Shujaa Magufuli

Nawatakieni Dominica Njema 😄
JamiiForums Active Moderator n.k.
Tunaomba huyu member mwenzetu apewe angalizo kwa kuwa anatushushia hadhi sisi GT kwa kuspam threads ambazo hazina evidences wala links.

Kimsingi anaflood pool bila sababu ya msingi
 
Back
Top Bottom