Wamarekani na washirika wake wamuangukia Dennis Rodman akamshawishi Kim Jong Kim

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,116
2,000
Katika hali isiyokuwa yakawaida inayonekana kuwa ngumu kwa Trump, Rais wa Marekani D.Trump amemtafuta Rafiki yake KimJong Kim, mchezaji wa zamani wa Chicago Bulls, Dennis Rodman aende Korea Kaskazini aongee naye kuhusu mzozo uliopo! hii ni baada yakuona hakuna mtu mwingine wakuongea naye mapank.
Na alipotua huko Pyongyang wamarekani wanne wakaachiwa ila kama anaweza kumshawishi dogo kubadili msimamo.

Dennis Rodman hopes to do 'something pretty positive' in North Korea - CNNPolitics.com
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
47,353
2,000
Hapo tayari wameshauharibu urafiki wa Rodman na Kim Jong Un.

Sidhani kama atamualika tena huko North Korea.
 
Hansss

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
2,370
2,000
Mkuu hata kama ametumwa kiupelelezi lkn sio kwa njia ya kutumwa na serikali ndipo upeleleze.Kama kungekuwepo na lengo la kufanya hivyo angekuwa anaenda bila media au serikali kuzungumza.
 
ndugaseli

JF-Expert Member
May 17, 2017
857
1,000
denis rodmana huyo jamaa ni shoga sasa najiuliza kwanin trump am2me shoga kwenda kusululisha mgogo nyuma ya pazia kutakua kuna ki2 apo
 
njumu za kosovo

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
370
1,000
Kim hana rafiki wala adui ila ukiyakanyaga tu ujue tayari ushakua msosi wa mbwa na hao mbwa hatari sanaaa hata uwachinjie nyati hawataki yakheee wataka mtu tu dadeq
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
14,649
2,000
Mbona kwenye hiyo link sijaona Trump au maafisa wake kumshawishi Rodman kumshawishi mapanki alegeze misimamo zaidi ya jamaa kusema safari zake zimejikita kwenye michezo?

Zaidi naona taarifa kwamba kuachiliwa kwa huyo mwanafunzi hakuna ubusiano wowote na safari za Roadman NK.
 
mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,837
2,000
Katika hali isiyokuwa yakawaida inayonekana kuwa ngumu kwa Trump, Rais wa Marekani D.Trump amemtafuta Rafiki yake KimJong Kim, mchezaji wa zamani wa Chicago Bulls, Dennis Rodman aende Korea Kaskazini aongee naye kuhusu mzozo uliopo! hii ni baada yakuona hakuna mtu mwingine wakuongea naye mapank.
Na alipotua huko Pyongyang wamarekani wanne wakaachiwa ila kama anaweza kumshawishi dogo kubadili msimamo.

Dennis Rodman hopes to do 'something pretty positive' in North Korea - CNNPolitics.com
Habari yako mkuu? Tatizo ni hii lugha iliyotumika au? Mbona hakuna hicho ilichokiandika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom