Wamarekani hawa

Hao wanajitambua,ukisoma Quran kuna tofauti ndogo sana na yaliyomo katika agano la kale katika Bible.
 
Wenzao hawaipendi bible kisa ni waislamu sehemu nyingine hawaruhusiwi hata kuwa nayo.
 
Hao wanajitambua,ukisoma Quran kuna tofauti ndogo sana na yaliyomo katika agano la kale katika Bible.

Kama unapenda agano la kale huwezi kuichukia Quran.
Kama ni wa agano jipya.......
 
Naamini Mungu ni mmoja dini ni mfumo wa maisha

Mungu wa Bible na mungu wa quran ni tofauti.
Hawa wanaamini katika mungu wa utatu mtakatifu(trinity) hawa wanaamini katika mungu mmoja.

Quran, 5:73 ?They do blaspheme who say: Allah is one of three in a Trinity: for there is no god except One Allah. If they desist not from their word (of blasphemy), verily a grievous penalty will befall the blasphemers among them.?
 
hii dunia imeubwa na miungu wangapi mpaka kutimia!!!Mungu ni mmoja dini ni mfumo wa maisha
 
Labda kwa biblia iliyochakachuliwa, lakini katika uislam nguzo mojawapo ya imani ni kuamini vitabu vyote vya mwenyezi mungu yaani torati, zaburi, injili na qur'an

Biblia ipi iliyochakachuliwa na tunarejea ipi kuijua iliyochakachuliwa??? (reference)
 
Biblia ipi iliyochakachuliwa na tunarejea ipi kuijua iliyochakachuliwa??? (reference)

Mkuu kwania njema kabisa na bila ushabiki wa kidini,Nakuomba uende ukaresearch asili ya biblia kuanzia ilipoandikwa mpaka hivi sasa hyo unayoitumia katika ibada tumia different sources na kuwa open minded,kischolarstic kabisa utajifunza mengi mno.peace
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…