Wamama mnasuasua!

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Nilisema nahitaji haraka mwanamke mtu mzima mwenye umri kati ya miaka 42 mpk 50. Naona wasichana wadogo wanazingua tu. Tatizo wanakuwa na tamaa sana ya mapenzi, hawana mapenzi ya kweli. Sibagui dini, wala kabila. Aliyetayari Ani PM namba yake ya simu. Umri wangu 34. Haya wamama kazi kwenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom