RICH OIL SHEIKH
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 883
- 170
Mkuu nadhani hujaelewa madai ya msingi ya wamakonde, viwanda na miundombinu ya kuprocess gasi vijengwe Mtwara - then safirisheni hadi Butiama. Hatujaona dhahabu ikachimbwa Bulyanhulu ikaletwa kusafishwa DSM. Wamakonde tunatamani sana kwenda kula sikukuu hizi kwetu, lakini mvua hizi baahhh ....siku 3 kufika Mtwara. Kama bandari ipo ni kuiboresha tu, barabara ya kusini haiishi toka niko mtoto napelekwa jando mpaka sasaiv na mi naitwa baba, reli waling'oa. WHY ALWAYS KUSINI TU????Huu sasa upuuzi. Kila yakinguduliwa mafuta au gesi watu wanataka nchi yao. Ajabu watu hao hao wamefaidi raslimali nyingine kama madini na mbuga za wanyama vilivyoko mikoa mingine bila malalamiko. Ingawa tunajua mnasumbuliwa na umaskini na ujinga, tusiendekeze njaa na ujuha wa changu changu chako chetu au chako kitamu changu kichungu. Mtwara hawajanyimwa fursa ya kufaidika na gesi bali ukweli kuwa hakuna miundombinu ya kufanikisha uuzaji wa gesi husika. Ni ajabu kuwa kila mjinga anadhani yakigunduliwa mafuta au gesi basi sehemu yake itageuka Dubai overnight bila hata mipango!
huu ni ujinga wa kutupa. kwani mtwara ni ardhi ya wamakonde peke yao? ujinga gani huu, polisi wakiwapiga hata hawa tutawalaumu? kwani hapa dsm gesi si inakuja kwaajili ya kuiongezea thamani ili tupate hela za nchi, hela itakayotumika kwa manufaa ya watz wote including wamakonde? ardhi ni mali ya umma, vilivyoko chini yake si vya wananchi ni vya umma wote, na serikali ndio yenye mamlaka navyo. polisi kamata hao watu wanatuharibia siku. wajinga sana hao.
what do you mean by '' UMILIKI" tuache ujinga jamani. kule mtwara ardhi karibia yote kwa sasa wanamiliki watu wa mikoa mingine wameenda kununua halafu wakarudi makwao kwasababu wanajua kutokana na gesi ardhi pale itakuwa na thamani sana badae, wachaga wamejaa kule wanatafuta maisha, watu makabila yote wamejaa kule, sasa hawa wacheza ngoma na wacheza bao ndo leo wanakuja kujifanya kusema gesi ni ya kwao? kwani nani anamiliki? na kama unasema mgawanyo, kivipi? kwani gesi ikiuzwa dsm si inaingia kwenye pato la taifa ambalo kila mkoa utafaidika? inakuwaje mkoa mmoja ambao kisheria hawamiliki resources zilizoko chini ya ardhi wakasema ni mali ya wamakonde? hivi polisi wameishiwa virungu vya kuwatandika hawa mbuzi mawe?Father of All, bila shaka watasema wewe mchaga. Ila wangepaswa kujua hata vinu vya gesi vikiwekwa mtwara its not a guarantee ya maendeleo. Kwani kwenye migodi kote wameendelea. Tatizo hapa ni kwamba tunachangamoto juu ya umiliki na ugawanaji wa rasili mali zetu
Ndugu Ubungoubungo, kama nchi ingeongozwa kwa jazba namna hiyo pengine tusingefika hapa. Tungekuwa pabaya. Tunapozungumzia umiliki hapa tunamaanisha kila mtanzanoa anayohaki juu ya rasilimali zilizojuu ya ardhi hii. Sasa katika hali ya kawaida mtu yeyote angependa kunufaika na kile anachokiona kwa karibu. Mathalani mchaga wa Kilimanjaro angependa sana kuona anavyofaidika na mlima kilimanjaro kuliko na ziwa Tanganyika. Sasa kunapokuwa na sera mbovu wananchi hawaoni au hawajui namna wanavyofaidika na rasilimali zao. Kunapokuwa na sera nzuri, wananchi wakaona manufaa yake, hapo tunasema wanamiliki sawa sawa rasilimali zao. Najaribu kutafakari ujinga nlioambiwa niache hapa. .what do you mean by '' UMILIKI" tuache ujinga jamani. kule mtwara ardhi karibia yote kwa sasa wanamiliki watu wa mikoa mingine wameenda kununua halafu wakarudi makwao kwasababu wanajua kutokana na gesi ardhi pale itakuwa na thamani sana badae, wachaga wamejaa kule wanatafuta maisha, watu makabila yote wamejaa kule, sasa hawa wacheza ngoma na wacheza bao ndo leo wanakuja kujifanya kusema gesi ni ya kwao? kwani nani anamiliki? na kama unasema mgawanyo, kivipi? kwani gesi ikiuzwa dsm si inaingia kwenye pato la taifa ambalo kila mkoa utafaidika? inakuwaje mkoa mmoja ambao kisheria hawamiliki resources zilizoko chini ya ardhi wakasema ni mali ya wamakonde? hivi polisi wameishiwa virungu vya kuwatandika hawa mbuzi mawe?
kuna maswali mengi unahitaji kujibu hapa;-Ndugu Ubungoubungo, kama nchi ingeongozwa kwa jazba namna hiyo pengine tusingefika hapa. Tungekuwa pabaya. Tunapozungumzia umiliki hapa tunamaanisha kila mtanzanoa anayohaki juu ya rasilimali zilizojuu ya ardhi hii. Sasa katika hali ya kawaida mtu yeyote angependa kunufaika na kile anachokiona kwa karibu. Mathalani mchaga wa Kilimanjaro angependa sana kuona anavyofaidika na mlima kilimanjaro kuliko na ziwa Tanganyika. Sasa kunapokuwa na sera mbovu wananchi hawaoni au hawajui namna wanavyofaidika na rasilimali zao. Kunapokuwa na sera nzuri, wananchi wakaona manufaa yake, hapo tunasema wanamiliki sawa sawa rasilimali zao. Najaribu kutafakari ujinga nlioambiwa niache hapa. .