Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Pamoja sana mkuu.Huu sasa upuuzi. Kila yakinguduliwa mafuta au gesi watu wanataka nchi yao. Ajabu watu hao hao wamefaidi raslimali nyingine kama madini na mbuga za wanyama vilivyoko mikoa mingine bila malalamiko. Ingawa tunajua mnasumbuliwa na umaskini na ujinga, tusiendekeze njaa na ujuha wa changu changu chako chetu au chako kitamu changu kichungu. Mtwara hawajanyimwa fursa ya kufaidika na gesi bali ukweli kuwa hakuna miundombinu ya kufanikisha uuzaji wa gesi husika. Ni ajabu kuwa kila mjinga anadhani yakigunduliwa mafuta au gesi basi sehemu yake itageuka Dubai overnight bila hata mipango!
Huu sasa upuuzi. Kila yakinguduliwa mafuta au gesi watu wanataka nchi yao. Ajabu watu hao hao wamefaidi raslimali nyingine kama madini na mbuga za wanyama vilivyoko mikoa mingine bila malalamiko. Ingawa tunajua mnasumbuliwa na umaskini na ujinga, tusiendekeze njaa na ujuha wa changu changu chako chetu au chako kitamu changu kichungu. Mtwara hawajanyimwa fursa ya kufaidika na gesi bali ukweli kuwa hakuna miundombinu ya kufanikisha uuzaji wa gesi husika. Ni ajabu kuwa kila mjinga anadhani yakigunduliwa mafuta au gesi basi sehemu yake itageuka Dubai overnight bila hata mipango!
huu ni ujinga wa kutupa. kwani mtwara ni ardhi ya wamakonde peke yao? ujinga gani huu, polisi wakiwapiga hata hawa tutawalaumu? kwani hapa dsm gesi si inakuja kwaajili ya kuiongezea thamani ili tupate hela za nchi, hela itakayotumika kwa manufaa ya watz wote including wamakonde? ardhi ni mali ya umma, vilivyoko chini yake si vya wananchi ni vya umma wote, na serikali ndio yenye mamlaka navyo. polisi kamata hao watu wanatuharibia siku. wajinga sana hao.Na nyie nanyi hamtambuliki! Walipodai Wazanzibari mlio uch i mvi!
Hahaha!hii isije kuwa kama "KIBANGA AMPIGA MKOLONI" ila jamaa kwa mishale tu hawajambo, na pia wanautaalam wakujigeuza Simba si unakumbuka wale simba wala watu toka ukanda huo!Jamaa wameshaanza kutengeneza pinde na mishale, tayari kuwafyatua wazungu mpaka waseme "oh my god"!
Wewe nadhani huijui Mtwara kabisa unakurupuka tu, hata kusoma historia yake bado pia! Mtwara wanafaidika na rasilimali zingine kama madini etc kivipi?? Mkoa masikin wa kutupa unasema wanafaidika? Kajipange na sio lazima uchangie hata kama huna point. Siungi mkono mgawanyo wa rasilimali kiukanda ila napinga upotoshaji wako about Mtwara.Huu sasa upuuzi. Kila yakinguduliwa mafuta au gesi watu wanataka nchi yao. Ajabu watu hao hao wamefaidi raslimali nyingine kama madini na mbuga za wanyama vilivyoko mikoa mingine bila malalamiko. Ingawa tunajua mnasumbuliwa na umaskini na ujinga, tusiendekeze njaa na ujuha wa changu changu chako chetu au chako kitamu changu kichungu. Mtwara hawajanyimwa fursa ya kufaidika na gesi bali ukweli kuwa hakuna miundombinu ya kufanikisha uuzaji wa gesi husika. Ni ajabu kuwa kila mjinga anadhani yakigunduliwa mafuta au gesi basi sehemu yake itageuka Dubai overnight bila hata mipango!
napinga hoja yako....gharama za hizo pipes na hao contractors wa kichina zinatosha kujenga miundombinu hiyo.....wametumia pesa nyingi for nothing,,,jaribu kufika pale songosongo uangalie watu wa pale walivyo maskini na gesi yao ndo inatengenezea umeme unaolipiwa mabilioni na Tanesco kwa siku,,,,,kaa chini fikiria kiundani,why dar-es-salaam and why bagamoyo na kuko over-populated tayari,,,mpaka wabomoe nyumba za maskini wawahamishe tena ili kupitisha gesi na mafao yao muwanyime pia......inakera,,,,wana-Mtwara kaka yenu nawa-support...do what is right for your generation,hii ni very big project ****** anahamishia kwao.Huu sasa upuuzi. Kila yakinguduliwa mafuta au gesi watu wanataka nchi yao. Ajabu watu hao hao wamefaidi raslimali nyingine kama madini na mbuga za wanyama vilivyoko mikoa mingine bila malalamiko. Ingawa tunajua mnasumbuliwa na umaskini na ujinga, tusiendekeze njaa na ujuha wa changu changu chako chetu au chako kitamu changu kichungu. Mtwara hawajanyimwa fursa ya kufaidika na gesi bali ukweli kuwa hakuna miundombinu ya kufanikisha uuzaji wa gesi husika. Ni ajabu kuwa kila mjinga anadhani yakigunduliwa mafuta au gesi basi sehemu yake itageuka Dubai overnight bila hata mipango!
ka kuwa mererani kuna TANZANITE NADHANI NAO WANATAKIWA WAJITENGE ILI WATUMIE TANZANITE YAO. SISI WA MOSHI TUTAJITENGA ILI TUFAIDI PESA YA UTALII WA MLIMA KILIMANJARO.MARA NAO WATATAKIWA WAHAKIKISHE KWAMBA HELA YA SERENGETI WANAKUSANYA WENYEWE;ZAIDI YA HAPO WAPEWE NCHI YAO.MWANZA WANATAKIWA WASIKUBALI MTU AKACHUKUA DAGAA WAO.WENYE DHAHABU WAACHWE WAPUMUE.SI WAPEWE NCHI YAO! UPUUZI MKUBWA! TATIZO WAKATI WENGINE WANAFIKIRI KWA KUTUMIA AKILI WENGINE WANAFIKIRI KWA KUTUMIA 07........
Charity begins at home Gentleman... Shuzi ulilojamba halianzi kunuka mita mia mbele, huanzia kwako!Huu sasa upuuzi. Kila yakinguduliwa mafuta au gesi watu wanataka nchi yao. Ajabu watu hao hao wamefaidi raslimali nyingine kama madini na mbuga za wanyama vilivyoko mikoa mingine bila malalamiko. Ingawa tunajua mnasumbuliwa na umaskini na ujinga, tusiendekeze njaa na ujuha wa changu changu chako chetu au chako kitamu changu kichungu. Mtwara hawajanyimwa fursa ya kufaidika na gesi bali ukweli kuwa hakuna miundombinu ya kufanikisha uuzaji wa gesi husika. Ni ajabu kuwa kila mjinga anadhani yakigunduliwa mafuta au gesi basi sehemu yake itageuka Dubai overnight bila hata mipango!
Huu sasa upuuzi. Kila yakinguduliwa mafuta au gesi watu wanataka nchi yao. Ajabu watu hao hao wamefaidi raslimali nyingine kama madini na mbuga za wanyama vilivyoko mikoa mingine bila malalamiko. Ingawa tunajua mnasumbuliwa na umaskini na ujinga, tusiendekeze njaa na ujuha wa changu changu chako chetu au chako kitamu changu kichungu. Mtwara hawajanyimwa fursa ya kufaidika na gesi bali ukweli kuwa hakuna miundombinu ya kufanikisha uuzaji wa gesi husika. Ni ajabu kuwa kila mjinga anadhani yakigunduliwa mafuta au gesi basi sehemu yake itageuka Dubai overnight bila hata mipango!