Wamakonde na misemo yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamakonde na misemo yao

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by nginda, Jan 20, 2012.

 1. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa anamuuliza binti wa kimakonde, ati, kwa nini wamakonde hawawezi kusema Mtu na badala yake wanasema Ntu?

  Binti wa kichinga ( iiiiiiiiih siiyo woote. Unajua kusema ntu, inategemea ntu na nnntu!)
   
 2. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani hapo kaonyesha msisitizo zaidi....
   
 3. mkudeson

  mkudeson Senior Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mothertongue problems!!
   
Loading...