Wamakonde mna nini lakini?

Nkajua kina mapunda, ndumbaro, ndomba
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapana.
Ila sisi wa kunyumba, majina ya ubini wetu ni kisanga, tena ubini wangu mie ndo nachoka kabisa, yule mnyama kakaa kichawi chawi, uchuro uchuro, gundu gundu, nuksi nuksi. Nachoka haswaa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bundi au
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapana.
Ila sisi wa kunyumba, majina ya ubini wetu ni kisanga, tena ubini wangu mie ndo nachoka kabisa, yule mnyama kakaa kichawi chawi, uchuro uchuro, gundu gundu, nuksi nuksi. Nachoka haswaa.
Mbawara, litunu, shigunu, ngokwa🀣
 
Nilitia maneno mwali mmoja wa kimakonde hapo mjini mtwara akanijibu
"Kama uninipenda jikutanile baba" niliuliza kama mara 3 hivi akawa anarudia yale maneno🀣🀣🀣🀣 nikayabeba nikayapeleka kwa mwanangu majani! Alichonijibu 🀣🀣🀣🀣🀣 khumannaaa
 
Umesahau
Akikupenda anatoa yoteeee habakishi na ya kesho.....
 
Alichopewa na Mungu kwanini akunyime.Tulia ujilie tararibu acha kelele.Wanajua kuikatikia hadi unaweza kuvunjika.Ukiwa unarudi shuka hapo Rufiji uone mishanga kama yote
 
Hapo kwenye Korosho sawa, nilitest bei yake balaa.

Nikarudi kununua Dar Kisutu

Mengine ndio nayasikia leo, sijawahi test
 
Ni baadhi Yao ila wengi ukipata umepata kweli package ya maana

We una umri gani? Utakuwa umepata mwizi wa kirangi amekuwekea Li-Mbwa- ta. Hujielewi. Warangi hawa ambao hawajui kusema No? Hawa hawa maharagwe ya Mbeya? Ila wapole na kama wana aibu vile kumbe wezi, malaya, makahaba na mengine ya kuwasitiri. Wewe tayari ushachezewa.
 
Duuh htre sana nasikia wangoni wanapenda ngono πŸ˜‚ na shepu zenu za kichaga
Kupenda ngono nakubalii, tunapenda mizagamuo hatari, bora tukose kula ila sio mnyanduano.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bwana weweee usntishe ntauza kolosho ntanunuaaaa

Oya makonde ni balaa vipi kuhusu tone yao ya kuongea sio kwamba kama wanabishana muda ote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…