Rimjusi ukirifuga rinakuwa Rikenge na Rikenge ukirifuga rinakuwa Rimamba.ππ Hili tatizo wamelizembea wenyewe especially kutenga maeneo ya biashara na kutengeneza ajira. Sasa wawaache tu hakuna namna.
Katika hali inayoonesha kuwa fungate imekwisha wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamerudi rasmi. Tujiulize muda na gharama zilizotumika nani atafidia? Hili ni tatizo la uongozi dhaifu kwani sheria zipo lakini wanaogopa kuzitumia.

Mbona maeneo mengi wamerudi tu? Manzese, Mzinga, hapo Mbagala ndo kabisaaa, saivi wamekuja na mbinu mpya wana vimeza vifupi, Hapa Shinyanga na mwanza ndo kwanza tunachonga meza