Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,098
- 10,610
Rimjusi ukirifuga rinakuwa Rikenge na Rikenge ukirifuga rinakuwa Rimamba.😃😃 Hili tatizo wamelizembea wenyewe especially kutenga maeneo ya biashara na kutengeneza ajira. Sasa wawaache tu hakuna namna.Asbuhi hawapo..ila masaa ya serikali ya kazi kuisha..wanarudi..
#MaendeleoHayanaChama