Wamachinga wameruhusiwa kurudi Mbagala Rangitatu?

Mbona maeneo mengi wamerudi tu? Manzese, Mzinga, hapo Mbagala ndo kabisaaa, saivi wamekuja na mbinu mpya wana vimeza vifupi, Hapa Shinyanga na mwanza ndo kwanza tunachonga meza
 
Katika hali inayoonesha kuwa fungate imekwisha wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamerudi rasmi. Tujiulize muda na gharama zilizotumika nani atafidia? Hili ni tatizo la uongozi dhaifu kwani sheria zipo lakini wanaogopa kuzitumia.
Syo mbagala tu, kariakoo ndo balaa.
 
Mbona maeneo mengi wamerudi tu? Manzese, Mzinga, hapo Mbagala ndo kabisaaa, saivi wamekuja na mbinu mpya wana vimeza vifupi, Hapa Shinyanga na mwanza ndo kwanza tunachonga meza
Upo Mwanza na Shinyanga unachonga Meza alafu unayajua ya Manzense, Mzinga na Mbagala ?
 
Katika hali inayoonesha kuwa fungate imekwisha wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamerudi rasmi. Tujiulize muda na gharama zilizotumika nani atafidia? Hili ni tatizo la uongozi dhaifu kwani sheria zipo lakini wanaogopa kuzitumia.
Weka ka pikitule basi
 
Hakuna wa KUWAZUIA
 
Asbuhi hawapo..ila masaa ya serikali ya kazi kuisha..wanarudi..

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom