radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,293 Sep 2, 2018 #1 #NipasheJumapiliHabari “Mbona Mheshimiwa Rais alishasema tusinyanyaswe? Nani anasema tuhame na twende wapi? Rais alishawaambia watuache sasa wanataka kutuupeleka wapi?” alihoji mmoja wa Wafanyabiashara./ Machinga wakaidi amri ya Majaliwa Nipashe Tanzania on Twitter View attachment 854045
#NipasheJumapiliHabari “Mbona Mheshimiwa Rais alishasema tusinyanyaswe? Nani anasema tuhame na twende wapi? Rais alishawaambia watuache sasa wanataka kutuupeleka wapi?” alihoji mmoja wa Wafanyabiashara./ Machinga wakaidi amri ya Majaliwa Nipashe Tanzania on Twitter View attachment 854045
Medecin Platinum Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,852 Reaction score 24,369 Sep 2, 2018 #2 Aangalie asije akatumbuliwa
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,532 Reaction score 138,483 Sep 2, 2018 #3 Kuhusu wamachinga!kila kiongozi anasema lake wamachinga wanakuwa kama kitenesi Ova Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu wamachinga!kila kiongozi anasema lake wamachinga wanakuwa kama kitenesi Ova Sent using Jamii Forums mobile app