Wamachinga vs Barabara za waenda kwa miguu

Wamachinga vs Barabara za waenda kwa miguu

Mkuu fanya mambo yako Achana kabisa na habari za machinga.
Huko kuna vijana wamejiajiri Gvt yako imewasusia kuajiliwa.

Huko kwa wanachinga ndio kuna mzunguko na upatikanaji wa bidhaaa kwa haraka. Hasa kwa tabia ya Wafrika wafanya manunuzi pindi wakioona vitu na sio wamepanga kununua.

Kuna maeneo wamachinga wanachsngamusha mji.
Sipingi hoja zako ila hawa watu ni mhimu sana tena sana..

Ni watu muhimu watengenezewe utaratibu maalumu kuna umuhimu gani wa kuingia gharama kutengeneza barabara zisizopitika wawepo pembeni ya barabara lakini kuwe na mpaka wasivuke
 
Back
Top Bottom