Huyo jamaa huwa ana mada zake za ajabu ajabu sana.Wee mtu ni mjinga sana wakati mwingine. Vijana wanajituma kwa kujiajiri wenyewe. Huoni hilo ni bora kuliko kukaa kijiweni kuvuta bangi na kupiga raia vitofali usiku? Hata boda nao utasema hawana faida. Umekaa Texas miaka na miaka unafanya kazi kama nesi sjui yena Mwanaume mzima na ni wazi umepoteza ukaribu na uhalisia wa maisha Tanzania.
SAWA.Tusiligeuze Taifa letu kuwa la wamachinga, huu ni mtego mbaya wa umaskini
Wiki hii na mwaka huu vimetia fora kuhusu habari za wamchinga. Bungeni wamejadiliwa, Ofisi namba moja imezungumza kuwahusu na leo Morogoro watu wametumbuliwa kwa sababu yao, RC wa Dar bado anagugumia na kiswahili kingi cha kuwapanga wasizibe mitaro iweze kufanyiwa usafi. Hizi ni sehemu tu suala...www.jamiiforums.com
Wacha watu wajiajiri ili maisha yasonge. Usiwaze kodi tuWatanzania wengi hawajui kwamba Wamachinga hawasaidii nchi yetu badala yake wanatumika kwa siasa pekee. Watanzania wanashangilia wamachinga ambao hawalipi kodi halafu wanalalamika wenyewe kuongezewa kodi!...
Wee mtu ni mjinga sana wakati mwingine. Vijana wanajituma kwa kujiajiri wenyewe. Huoni hilo ni bora kuliko kukaa kijiweni kuvuta bangi na kupiga raia vitofali usiku? Hata boda nao utasema hawana faida.
Umekaa Texas miaka na miaka unafanya kazi kama nesi sjui yena Mwanaume mzima na ni wazi umepoteza ukaribu na uhalisia wa maisha Tanzania.
Watanzania wengi hawajui kwamba Wamachinga hawasaidii nchi yetu badala yake wanatumika kwa siasa pekee. Watanzania wanashangilia wamachinga ambao hawalipi kodi halafu wanalalamika wenyewe kuongezewa kodi!
1. Hawalipi kodi yeyote ya maana na vibali vya machinga ni kama kukejeli Watanzania.
2. Wachafuzi wa mazingira. Hivi hizi gharama za usafi analipa nani hasa kwa watu wasio lipa kodi.
3. Wanauza vitu vya kijinga ambavyo havina msaada wowote wa maana kwa viwanda vyetu wala sera muhimu kama kilimo, elimu au afya.
4. Wanasaidia viwanda vya china sio Tanzania hebu tukaangalie kama vitu vya machinga ni vya Tanzania! Utakuta ni majalala ya kichina hivyo tunasaidia wachina na sio Tanzania.
5. Wanaua wafanyabiashara wadogo ambao wanalipa kodi maana wameweka magenge ambayo hayana mpangilio mbele ya biashara nyingine
Wanakimbia Kilimo chenye tija huko Vijijini