Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,305
- 33,924
Big G = Big Gum!!Ambacho ni kifupi cha Bubble Gum .
Nimeelezea kuwa ni kutokana na waliokuwa wanafanya biashara ya kutembeza bidhaa hasa kwenye jiji la Dar es salaam miaka ya mwanzoni mwa themanini kuwa ni watu kutoka mtwara. Kwa ivo watu wakawa wanaulizana "hiyo bakuli umenunua wapi" na mnunuzi hujibu " nimenunua kwa wamachinga" muuliza swali huelewa kwamba imenunuliwa toka kwa watu watembezao bidhaa mitaani.Sawa umepinga kuwa sio marching guys bali hujasema hilo neno limetokea wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo watu kutoka Mtwara ndiyo sababu ya kuitwa Wamachinga,kivipi? Hebu unganisha maana ya neno Wamachinga kwa uchuuzi mitaani,ulinganishe watu wa kusini hasa Mtwara,corelation iko wapi hapo? Hujatoa sababu. Kutoka Mtwara hakuwez kuwa ni sababu ya neno Wamachinga. Na kule Mtwara hakuna sehemu au affiliation yoyote na neno Wamachinga. Sababu yako inakosa hoja ya kimantiki. Hoja ile ya Matching Guys ina mashiko kuonyesha uchuuz(literally-Swahili-English direct interpreration)!Nimeelezea kuwa ni kutokana na waliokuwa wanafanya biashara ya kutembeza bidhaa hasa kwenye jiji la Dar es salaam miaka ya mwanzoni mwa themanini kuwa ni watu kutoka mtwara. Kwa ivo watu wakawa wanaulizana "hiyo bakuli umenunua wapi" na mnunuzi hujibu " nimenunua kwa wamachinga" muuliza swali huelewa kwamba imenunuliwa toka kwa watu watembezao bidhaa mitaani.
Limetokana na watu wanaotoka nachingwea wachingaSawa umepinga kuwa sio marching guys bali hujasema hilo neno limetokea wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza sina sababu ya kutafuta sababu kwani huo ndiyo ukweli na uhalisia. Sasa "Correlation" ya "Marching Guys" na "Wamachinga" iko wapi? Au kwa kuwa kimatamshi ni kama yanafanana?Tafuta sababu,hapo umekosa sababu.
Wewe uko sahihi kabisa kwanza neno machinga halijaanza zamani sana nazani ni miaka ya 90 na hivi wakati huo walioanza kufanya kazi ya umachinga walitokea huko nachingwea na mtu mwingine yeyote akifanya kazi hiyo ilizaniwa ametokea huko na asili Yao hao watu wa nachingwea ni wachinga na ndio kitu ambacho kimezaa jina la machinga leo
Hawker = Vendor.Kwanza sina sababu ya kutafuta sababu kwani huo ndiyo ukweli na uhalisia. Sasa "Correlation" ya "Marching Guys" na "Wamachinga" iko wapi? Au kwa kuwa kimatamshi ni kama yanafanana?
Kwenye kiswahili kuna kundi la maneno "Mwa" ambalo neno "mmachinga" linakuwa "Wamachinga" sasa "marching Guys" iweje iwe "Wamachinga"?
Nimetoa Historia ambayo ni ya kweli wewe unaleta mapokeo ya zama hizi. Unaikumbuka bendi ya "Nchinga Sound" iliyokuwa inaongoza na Muumini Mwinyijuma? Sasa huko Nchinga ndiko wamachinga wanapotoka na wao ndiyo asili ya watembeza vitu mtaani kuitwa wamachinga.
Nimesema kwamba wazungu wamachinga wanawaita "Hawkers" basi ni kwa nini hawa wa huku kwetu waje wawaite "Marching Guys" wakati wanafanya biashara kwa mtindo unaofanana na ule wa "Hawkers" wa kule kwao?
Sijakuelewa!!
HII INATUMIWA SANA KUSAGIA GOMBA (MIRUNGI)
Tuko pamoja ndugu hiyo wanayo dai kwamba limetokana neno la kiingeleza wanapotosha na wanawaaminisha watu vibayakinandinandi nikurekebishe kidogo. Ni kuanzia miaka ya 1986 na kuendelea ndiyo wamachinga walipovamia Dar na biashara yao ya kutembeza vitu. Nadhani ni kutokana na kuisha zama za "Hali ngumu ya uchumi" ndiyo na wao walipogundua kutembeza vitu na kuuza mitaani ni biashara kubwa sana!!