Walter Reed Progam, Tanzania

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,342
3,494
Hawa jamaa wametangaza nafasi za kazi nimeona ZooomWebsite, je wanalipa vizuri na vipi mazingira ya kazi? Mwenye kuwafahamu atoe msaada tafadhali
 
Mkuuu dedline ilishapita muda mrefu sana, saizi watu tunasikilizia kuitwa Interview but wako kimya sana
 
NImeitwa Kwenye Interview tarehe 9 Alhamis huko Mbeya, Mwenye Taarifa za kutosha kuhusu interview zao anijuze jamani
 
Post gani uliomba? Na hakuna interview itakayofanyika dar???

IT Help Desk jombaa, walinipigia simu na kunitumia hii kitu kwa maelekezo zaidi.

Dear Candidate,

I would like to invite you for the subject interview on Thursday June 9th 2016 at 14 :00 pm .. Our Office is located near NMB Bank Main Branch (Mbalizi Road) in Mbeya town. We normally refund bus fare, accommodation (not more than 50,000/night) and food on presentation of valid receipts.

Please confirm your availability for this interview . If you have any questions, feel free to contact us.

Looking forward to meeting you on 9th

Thanks
 
Wako vizuri sana!!one of the best employers in Mbeya..
 
IT Help Desk jombaa, walinipigia simu na kunitumia hii kitu kwa maelekezo zaidi.

Dear Candidate,

I would like to invite you for the subject interview on Thursday June 9th 2016 at 14 :00 pm .. Our Office is located near NMB Bank Main Branch (Mbalizi Road) in Mbeya town. We normally refund bus fare, accommodation (not more than 50,000/night) and food on presentation of valid receipts.

Please confirm your availability for this interview . If you have any questions, feel free to contact us.

Looking forward to meeting you on 9th

Thanks

Tushakuondoa disqualified so usijisumbue kuja
 
Hahaaa, thank you HR Mchagga Halisi;
Maneno tu Hayo, Ingekuwa vizuri pia, maana Nliomba Emergence leave offisini Nimeruhusiwa, So ningeweza kulala tu
ila nakuja tukutane huko, nione hiyo interview yenu
 
HR wa hapa ni mwanamke ila mimi tungekutana kwenye hiki chumba hapa chini kwa ajili ya interview bt ndio hivyo tena wasalimie huko. Bt unaweza kuja ushangae shangae ofisi tena ukifika pitia huku nyuma kwenye parking.
 
Mimi nimeomba na nina sifa zote walizohitaji ila sijaitwa, hongereni mlioitwa.
 
Mimi nimeomba na nina sifa zote walizohitaji ila sijaitwa, hongereni mlioitwa
Mkuu sifa zote unamaanisha nini? Kitu nilicho-note pale kama unasifa zote na experience ya kutosha kwenye taasisi za afya basi unakua kwenye side nzuri, Yaani kama Uhasibu, IT, Administrative, etc.... Kama hizo zote unazo related to Health institution possibility ya kuitwa ni kubwa... Mimi nilienda huko nilichogundua ni hicho, Nilikutana na Rafiki za ngu niliosoma nao chuo wa4, hao wote wanaexperience ya fani yao in health institution, katika story story nikagundua kuwa kuna wengine wawili ambao ndo tumefahamiana pale pale nao walikua na background ya hiyo, Jumla tulikuwa 8. Sikufanikiwa kujua taarifa za hao wengine wawili
Kwa hiyo unaweza ukawa Guru wa masuala ya Administration but kutoka Taasisi za kifedha au za Ujenzi, lakini mwingine ana same certification kama wewe but yeye ana experience kutoka Health institution. Concern yao mtu wa health oriented experience ata-corp mazingira mapema, bcoz background itam-fever Hicho ndo ninachokiona hapo mkuu.
 
Nimekupata vyema mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom