Walokole, Wapentekoste na wasabato hupata wapi majina ya kubatiza watoto wao?

Kuna ka mstari kanasema "pokeeni funguo wowote mtakaowaondolea dhambi wameondolewa kweli, na lolote mtakalolianzisha dunian na mbingun limeanzishwa pia" unakaongeleaje?
kumbuka andiko huua na kuhuishwa so be care.
 
Okey...ni Mungu pekee anayejua binadamu yupi ni mtakatifu...hata hivyo utakatifu wa binadamu unadhibitika pale anapokufa...cse akiwa hai anakuwa kwenye pambano any time anaweza fanya dhambi....But kuna watakatifu kama Eliya na Mussa hao wako noticed na Mungu mwenyewe....!!! Sa hvi huwezi sema huyu ni mtakatifu wakati anachowaza hujui....na Mungu yupo kimya kutwambia huyu ni mtakatifu au laa
Ufunuo 5:8-9
Hata alipokitwaa kile kitabu, hao wenye uhaiwanbe na wale wazee 24, wakaanguka mbeleza Mwana Kondoo, kila mmoja wao ana kinubi za Vitasa vya Dhahabu vilivyojaa manukatoambayo ni MAOMBI YAWATAKATIFU..
 
Ahaa we unawajua hao watakatifu? Anayesema hayo maneno ni Daudi au Mungu? Maana Mungu anajua we utaenda mbiguni au utaishia wap..
Yeye anajua mwisho tangu mwanzo...ndo nikasema ni Mungu pekee anayejua
Unajua maana ya Neno la Mungu..? Zab 16:3 siyo neno la Daudi ni Neno la Mungu..
 
Hahahaha naona kila MTU anajalibu kutetea upande alio kalia
Ukiangalia mifumo mingi ya kuderiver iman inamambo mengi sana sana kikubwa tukili na kuiamin biblia
 
Kwa utaratibu wa Roman Catholic, mtoto au mtu mzima ubatizwa jina la mtakatifu fulani ili awe mwombezi wake. Sasa najiuliza, Walokole, Walutheri, Wasabato huwa wanatoa wapi majina yao ya Kikristo wakati hawaamini katika utakatifu? Utakuta mlokole anaitwa Clement, Antony, nk
mwombezi ni Yesu Kristo pekee... hao watakatifu wengine chenga tu walikufa wakazikwa wanasubiri ufufuo wa pili so hawawezi kuombea mtu
 
H
Ester, Deborah, ni Watakatifu hata kabla ya RC. RC ndio walikuja na wazo la kubatiza kwa majina hayo, walokole nao wanayatumia bila kujua kwanini majina ya yanatumika. Mimi nilitegemea walokole watumie majina ya asili
to Ni majina ya kibiblia nasio ya rc,so rc gains haki miliki ya biblia ruksa kuyatumia
 
Wanawapa majina ya watume wa kwenye Bible, ndiyo maana majina kama Ester, Naomi, Deborah kwanye Ukatoliki siyo mengi.
Ester, Naomi, Deborah.... ni watume kumbe?
Btw ni Watume au Mitume!?
Msaada tafadhali!
 
Mna maana Majina kama kityukuulu, matonya, mwakasege, pengo, ngalalekumtwa, madelu, mizengo, Sita n.k ni ya ubatili eeh!!!!
Au sijawaelewa!!!
 
Nadhani ndugu umejenga nadharia yako juu ya dini na wala hukujenga kwa maana ya imani, wakatoliki wanamwamini Yesu kristo, ambaye ndiye jiwe la msingi la kuwepo wa ukristo, hata hao ulio waita walokole wemejengwa kwenye msingi huohuo unaoitwa kristo, hivyo hakuna tofauti ya majina. kwa maana nimewaona wakatoliki akitwa Frank, na hao unaowaita walokole pia wapo akina Frank.

Nimeona akini Ester pande zote mbili pia, hii inamaana msingi wa imani yetu sio madhehebu yaani ukatoliki, upentecost, ulutherini na nk. tena tunajua wazi hakuna dini itayompeleka mtu mbungini, tena tunajua kuwa tumepewa jina moja tu duniani na mbinguni litupasalo kutuokoa nalo ni YESU KRISTO.

Na tena tenajua kuwa dini ni mpango wa mwandamu kumtafuta MUNGU, lakini wokovu kwa njia ya msalaba na agano laYesu ni mpango wa MUNGU kuwatafuta wanadamu, hivyo dini zinatasaidia kuweka utaratibu wa kutufanya tuishi hapa duniani mbinguni hazipo.

Lakini hizi zimekuw kikwazo kikubwa kufunga watu wasijue kweli wengi tumengangania taratibu za dini, namna ya kushika vitabu ukiwa kaisani, nmna ya kusoma kana kwamba tunanyenyekea sana, namna yakuonyesha sura za utakatifu, huku tukificha vichakaa vya dhambi moyoni, kanisani tunaonekana watalatifu lakini kwenye kipimo cha MUNGU achunguzae roho hamna kitu.

Dini bila wokovu ni kichaka kibaya sana, kila siku tutaimba litulugia na sura za upole, lakini mbingu iko mbali nasi, watumishi wameshikwa na uwingi wa washirika, sakada zao na wemeangalia vyeo vyao na ndiyo wanaofaidi zaidi heshima za watumishi, wanakaa viti vya mbele wanapewa vyeo vya uzee wa kanisaani kwa kuwa wanajificha ndani ya dini, hata watumishi wakijua hawawezi kuwakemea kwa sababu ya mambo ya dini na mipango ya kibinadamu. Masikini kwenye madhebu mengi hana chake, angalia hata mazishi yake atazikwa na kateksta lakini mwenye cheo na pedre au mchangaji hata askofu. kama kweli Dini ingekuwa inatupeleka mbinguni hili lisingetokea kwani mwenye moyo wa haki ndiye angezikwa hivyo na watumishi wengeshuhudiwa na roho ya MUNGU inayotenda kazi sasa duniani. Dini inaabudu vyeo na mali haimjari masikini.

Wokovu unajari masikini wa roho, waliofungwa na kuonewa na shetani na walio na moyo wa haki, pesa, vyeo na heshima mbele ya wokovu sio kitu cha kujivunia.

Nimalizie kwa kusema wakrsto wote tusifungwe na dini, tafuteni kwanza ufalme wa Mungu na mengine mtazidishiwa.
Mwenye masikio.......
 
Ni vigezo gani vinatumika mtu kuwa mtakatifu?na kitabu gani ktk biblia kinachosema hao watu waliopewa utakatifu watuombee na kusamehewa dhambi zetu?ni kitabu gani ktk biblia kilichompa padri uwezo wa kusikiliza dhambi zako na kuzisamehe.mfano yy akitenda dhambi ni MTU gani atamfata amsamehe?

Mtakatifu ni mtu asiye na wa mawaaa.
Iweni watakatifu kana mimi nilivyo.
Haijalishi wewe umetumikia mosa mara ngapi agizo mi kuwa mtakatifu
 
we unakumbuka maneno yaliyosemwa na bwana wetu yesu kristo kabla ya kupaa '""aliwapa mitume mamlaka akawaambia nenden ulimwengun mkaitangaze injili na kila mtakaemuondolea dhambi atakau ameondelewa na kwa baba pia na kila mtakae mfungia atakua amefungiwa pia, soma marko16:15-
 
Kwa utaratibu wa Roman Catholic, mtoto au mtu mzima ubatizwa jina la mtakatifu fulani ili awe mwombezi wake. Sasa najiuliza, Walokole, Walutheri, Wasabato huwa wanatoa wapi majina yao ya Kikristo wakati hawaamini katika utakatifu? Utakuta mlokole anaitwa Clement, Antony, nk
Acha kufikiria ujinga.
 
Si kweli mkuu, watakatifu wapo ndio maana Musa na Elia walimtokea Yesu ingawa walikuwa wamekufa siku nyingi
Haukufundishwa wala Kuelewa falsafa ya kutokea kwa Musa na Eliya Katika mlimani ule wa maombi, Ila ukakaririshwa kuwa marehemu wanaweza kukuombea.
 
Back
Top Bottom