Walokole na corona

Walokole na corona

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
Huko Zimbabwe baada ya katazo la mikusanyiko
Walokole wa kanisa fulani walijifanya wabishi, hiki ndicho walichokutana nacho!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasingewapiga, badala yake wangewakusanya wote wakawaweka quarantine miezi miwili. Ukimtawanya mtu wa tabia hii sio dawa maana ataenda kufanya mkusanyiko mwingine mdogo sehemu nyingine na hatofuatilia tahadhari zinazotolewa sababu ya imani yake ya ajabu
 
Tatizo lako ni kutokuweza kutofautisha hao "Walokole" na wafia dini. Umejuaje kama hao ni walokole, walutheri, wakatoliliki au Presby au Angelikan?
Kuwaita wote kuwa ni Walokole nadhani hujatenda haki. Leo ilikuwa siku ya kuabudu wakristu
 
Mbona video ya zaman hiyo, tena ni kile kipindi wasouth wanashambulia wagen, zimbabwe nako wakataka kufanya ujinga wa kulipa kisasi ndo wakakutana na hicho kipigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom