Uaminifu ndio ishara ya kumpenda Yesu

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
901
1,334
Ujumbe wenu leo

FB_IMG_1711700948422.jpg
 
Ujinga na upumbafu ni kule kujiona ni wewe tu upo kamili mbele za Mungu! Halafu wengine wote wasiotenda kama wewe unawaona wote ni wenye dhambi!

Huo ndio upumbavu kwa wote wenye kujiona ni wakamilifu sana kuliko wengine

Shenzi kabisa
 
Mungu anataka kusikia hoja na si kuona machozi
Unawezaje kuzuia mwanamke au kichanga asilie machozi?

Mungu ni baba sisi ni little babies, iweje kichanga apekeke HOJA Kwa mzazi?

Mungu ni baba yetu anayetujali, anajua nini mahitaji yetu, muhimu ni kujitakasa na kushukuru.

Amen
 
Ukiwa umejazwa Roho Mtakatifu, kitendo cha kulia au kutokwa na machozi wakati unasali, kuomba au unamshukru Mungu Muumba huwa kinatokea unconsciously.

Kwa wale wanaoendeshwa na mapokeo ya dhehebu flani ambao wakati mwingine hawajajazwa Roho Mtakatifu, huona kitendo cha kutokwa na machozi kama ni kinyume cha mapokeo yao na ni tendo ambalo halifai mbele za Muumba.
 
Huwa najiuliza sana mtu anasema ameokoka, and they claim kuokoka ni kumkubali Yesu kuwa bwana na mwokozi wako; perfect! At the sametime ukiwa husali nao kwa the same church wanakuona hujaokoka. Besides hao wanaongoza kujipatisha mimba bila kuoana, wasengenyaji, wametawaliwa na chuki na ubaguzi, visilani nk. Je huo ndiyo wokovu alio uhubiri Yesu??
 
Mungu ni mtukufu, inatakiwa uongee nae kwa ibada, na kwa tafakari, kulia labda ulie km sehemu ya kuyajutia madhambi yako
 
Huwezi kuongea na Mungu mtukufu uso mkavu!!

Utukufu wa Mungu lazima ufanye chemchemi ndani ya moyo zifumuke na kuleta bubujiko ndani Yako ambalo huzaa maombi yenye machozi ya furaha Si machozi ya huzuni.

Amen
 
  • Thanks
Reactions: K11
Ukiwa umejazwa Roho Mtakatifu, kitendo cha kulia au kutokwa na machozi wakati unasali, kuomba au unamshukru Mungu Muumba huwa kinatokea unconsciously.

Kwa wale wanaoendeshwa na mapokeo ya dhehebu flani ambao wakati mwingine hawajajazwa Roho Mtakatifu, huona kitendo cha kutokwa na machozi kama ni kinyume cha mapokeo yao na ni tendo ambalo halifai mbele za Muumba.
Niseme ukweli, mimi nilishakuaga mlokole, na kiukwel kwa mara ya kwanza baada ya kutokewa na scenario hii ya kutokwa machozi bila kujua, ndipo nikaachaga kuwakebehi walokole mpaka hiv leo.

Sikua na shida kusema nilikwenda church kulia shida.
Sikua naumwa
Sikua na uhitaji wowote nakumbuka.

Ila kuna ile feeling automatic ilinikumba ya kumtafakari Mungu na upendo wake na kisha kuona kama Mungu kanitendea mambo meengi sana na wala sikua nina muda wa kujal hayo. Bas automatically nilijikuta nimepiga magoti na kulia machozi ikiwa ni ishara ya ku appreciate yale Mungu alikua amenitendea.
Ilitokea tu na baadae nikaja kujishtukia nikajiona kama nimechanganyikiwa hiv, how come na mimi nalia lia.😂😂😂.

NB
siku hiz nilishaanguka na kurud dhambini. Ila maisha yale ni mazuri sana
 
Huwa najiuliza sana mtu anasema ameokoka, and they claim kuokoka ni kumkubali Yesu kuwa bwana na mwokozi wako; perfect! At the sametime ukiwa husali nao kwa the same church wanakuona hujaokoka. Besides hao wanaongoza kujipatisha mimba bila kuoana, wasengenyaji, wametawaliwa na chuki na ubaguzi, visilani nk. Je huo ndiyo wokovu alio uhubiri Yesu??
Kuokoka/kuongoka ni hali ya kuziacha njia zako mbaya na matendo maovu.

Ikiwa bado umegandamizwa na kokwa la uovu ndani yako, huku unasema umeokoka, unajilisha upepo.

Suala la wokovu sio la kanisa lote au dhehebu flani bali ni suala binafsi.

Kila dhehebu kuna walio wa Mungu kweli na waigizaji/wasindikizaji.

Mtu anayeongozwa na Roho Mtakatifu amejawa na upendo, amani ya Kristo na hana ubaguzi.
 
Niseme ukweli, mimi nilishakuaga mlokole, na kiukwel kwa mara ya kwanza baada ya kutokewa na scenario hii ya kutokwa machozi bila kujua, ndipo nikaachaga kuwakebehi walokole mpaka hiv leo.

Sikua na shida kusema nilikwenda church kulia shida.
Sikua naumwa
Sikua na uhitaji wowote nakumbuka.

Ila kuna ile feeling automatic ilinikumba ya kumtafakari Mungu na upendo wake na kisha kuona kama Mungu kanitendea mambo meengi sana na wala sikua nina muda wa kujal hayo. Bas automatically nilijikuta nimepiga magoti na kulia machozi ikiwa ni ishara ya ku appreciate yale Mungu alikua amenitendea.
Ilitokea tu na baadae nikaja kujishtukia nikajiona kama nimechanganyikiwa hiv, how come na mimi nalia lia.😂😂😂.

NB
siku hiz nilishaanguka na kurud dhambini. Ila maisha yale ni mazuri sana
Ni maombi yangu urudi Kwa baba Yako akupendae, atakusamehe, usijihukumu.

Roho MTAKATIFU akiingia ndani ya mtu huugeuza moyo wa jiwe kuwa moyo wa nyama, hivyo bubujiko na machozi ya furaha havikwepeki.
 
Ni maombi yangu urudi Kwa baba Yako akupendae, atakusamehe, usijihukumu.
Hakika, naamin Mungu atanipa tena nafasi ya pili kwa wakat wake.
Roho MTAKATIFU aliingia ndani ya mtu huugeuza moyo wa jiwe kuwa moyo wa nyama, hivyo bubujiko na machozi ya furaha havikwepeki.
Hii situation haijaniondoka completelly,mara kadhaa bado huwa nakumbwa na ile hali ya kuugua sana moyoni kila napojiona kama nimepotea kabisaa, bas naomba tu Mungu anisaidie nisifie huku niliko.
 
Back
Top Bottom