Wallpaper official thread.

Wallpaper official thread.

beach-resorts-wallpaper-hd-95922400.jpg
Hii nzuri
 
Hizi ni za kubandika kwenye kuta nyumbani au za kwenye background ya computer??
 
jina la hii animation inaitwaje??
Hao ni watumbuizaji au wasimulizi kwenye cartoon moja matata ya kuitwa RANGO..dah hii cartoon bhana kuna maisha halisi ya binadamu kwenye harakati za utafutaji yani full mikasa....
 
Back
Top Bottom