ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Jun 8, 2011 #21 hujui ukiwa na zap au m pesa uko hatarini kuibiwa kuna post ipo humu inaelezea hiyo kitu... mi naona wallet ni bora kuliko kutokuwa nayo.. ni hayo tu..
hujui ukiwa na zap au m pesa uko hatarini kuibiwa kuna post ipo humu inaelezea hiyo kitu... mi naona wallet ni bora kuliko kutokuwa nayo.. ni hayo tu..