PU-Leather mkuu. Niliteta Original kujaribu soko piece 5 tu nilinunua kwa USD 36 kila moja ukitoa usafiri na trasaction za bank, nikawa nauza laki 1 nimeishia kuuza kwa hasara na mkopo na nyingine 2 kutumia mwenyewe.
Hizi ni PU-Leather (polyurethane).