mfano wa wallet ya kwanza ya pili na ya tatu ndio ninayo mim. Ni wallet nzuri sana tena sana...wadau muungeni mkono kwa mzigo huo aisee na mtojuta kwa wallet hzoHabarini tena.
Wallet nyingine zimekuja za kiume. Ni za PU-Leather. Kwa sasa nina models mbili. Slim wallet na nyingine nene.
Wallet nene zina card slots 8, mfuko wenye zip kwa ajili ya coins na mfuko wa kuweka cash.
Ila kwa wasio na flavor ya wallet nene kuna nyembamba zipo simple.
Wallet zote ni Tsh 20,000 tu na zipo sealed New.
Rejea picha hapa chini.
Nipo Ubungo nicheki kwa 0758095750
Naomba support yenu.View attachment 773890View attachment 773891View attachment 773892View attachment 773893View attachment 773894View attachment 773895
nimeipenda hii ya nne vp na mie nipo tmk darHabarini tena.
Wallet nyingine zimekuja za kiume. Ni za PU-Leather. Kwa sasa nina models mbili. Slim wallet na nyingine nene.
Wallet nene zina card slots 8, mfuko wenye zip kwa ajili ya coins na mfuko wa kuweka cash.
Ila kwa wasio na flavor ya wallet nene kuna nyembamba zipo simple.
Wallet zote ni Tsh 20,000 tu na zipo sealed New.
Rejea picha hapa chini.
Nipo Ubungo nicheki kwa 0758095750
Naomba support yenu.View attachment 773890View attachment 773891View attachment 773892View attachment 773893View attachment 773894View attachment 773895
Kwahiyo suruali zako hazina mifukoTatizo langu mm ni kutoa hela kununua kitu chaa kuwekea hela. Tena 20,000 daaah...!!
Hahahahahh.....duhUkiwa unakimbia kwa constant speed si unapata beat zuri kama lile beat la makhirikhiri[emoji4] [emoji4]
Sina wallet. Niliwah kupoteza vitambulisho, kadi, leseni, kwa mara moja, nikaachana na matumiz ya wallet. Hiyo ynyw nililetewa surprise na kabinti kamoja hv.Kwahiyo suruali zako hazina mifuko
Ni wewe tu. [emoji23] [emoji87] [emoji102] [emoji125] [emoji188] [emoji100]serious? Tufanye kesho bas et
Za kubebea vitambulisho tu labda![emoji135][emoji135][emoji135]
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Ni wewe tu. [emoji23] [emoji87] [emoji102] [emoji125] [emoji188] [emoji100]
Hela zikija ndo ziandae mazingira sio kidogo ulichonacho kiishe tenaNi kweli madam. Ila vizuri uandae mazingira ya hela ili zikija zipate pa kukaa.
Ya nini sasa mkuu wakati hakuna cha kuweka!!!wallet ni ya hela siyo risiti za luku na dawasco.Nina miaka 7 sijabeba wallet