Pesa huweki mkuu??Za kubebea vitambulisho tu labda![emoji135][emoji135][emoji135]
Mmmh! Usawa huu mkuu?Pesa huweki mkuu??
Kweli usawa mgumu,lakini hata buku buku zinakaa humo mkuuMmmh! Usawa huu mkuu?
Kijengeni.Arusha nazipatia wapi???
Ukiwa unakimbia kwa constant speed si unapata beat zuri kama lile beat la makhirikhiri[emoji4] [emoji4]Me wallet yangu nawekaga coins tu. [emoji23]
We acha tu sometimes naonekana konda.Ukiwa unakimbia kwa constant speed si unapata beat zuri kama lile beat la makhirikhiri[emoji4] [emoji4]
Nitakuwa nakuja kwako kununua chenji GoldieWe acha tu sometimes naonekana konda.
Njoo usiku ninazo chenji za kutosha. [emoji23]Nitakuwa nakuja kwako kununua chenji Goldie
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]buku nayo inahitaji wallet!acha utani mkuu.labda hizo coin za daladala tu.Kweli usawa mgumu,lakini hata buku buku zinakaa humo mkuu
NisaidieTatizo hujui kusoma soko. Mifuko ya suruali tu iko empty ndo na wallet tena?
Za kubebea vitambulisho tu labda![emoji135][emoji135][emoji135]
serious? Tufanye kesho bas etNjoo usiku ninazo chenji za kutosha. [emoji23]