Wallah!! Siitaki tena CCM

Aisee umenifurahisha sana. Katika michango yako yote hamna hata moja uliyowahi kujionesha kuwa wewe ni mwanachama ya ccm. Michango yako yote ilikuwa ni kwa chadema ila leo umejifanya mwana-ccm muasi. Be serious au ndo uhamasishaji? Wadau hebu angalieni michango ya huyu mh. siku za nyuma. msishabikie tu hata uongo.
 
umefulia mpaka mawazo,nenda huko kwingine utakumbuka ccm kwa madudu utakayoyakuta huko,unaisikia tu ccm lkn huijuwi ingawa unasema umewah kuwa mwanachama
 
Aisee umenifurahisha sana. Katika michango yako yote hamna hata moja uliyowahi kujionesha kuwa wewe ni mwanachama ya ccm. Michango yako yote ilikuwa ni kwa chadema ila leo umejifanya mwana-ccm muasi. Be serious au ndo uhamasishaji? Wadau hebu angalieni michango ya huyu mh. siku za nyuma. msishabikie tu hata uongo.

KAUMZA namfahamu sana, tulipambana vilivyo last october alikuwa ni mmoja kati ya mastriker waliokuwa wakiichachafya sana ngome ya cdm. Ni pigo kwa magamba JF wkt huo nikitumia id fulani
 
Kama ni kweli, sawa, lakini uamuzi wake umeufanya kwa kuchelewa sana. Madudu yote ya ccm yamefanywa kwa msaada wako. Vifo vya akina mama wajawazito na watoto wadogo, umesaidia kuvifanikisha. Karibu tupambane, huko joto na inahtaji uvumilivu.
 
Back
Top Bottom