Jibu langu ni kwamba siyo kila kitu Mungu alichokiruhusu kifanyike au kitokee duniani basi anakipenda vingine kaviruhusu sababu anajua jinsi alivyotuumba binadamu wadhaifu na wenye mapungufu na ana sababu zake kwanini karuhusu tendo la ndoa Mungu aliliruhusu ili tuje kuzaliana na kuongezeka hapa duniani tena alitaka lifanywe na wanandoa tuSwali ulilouliza halihusiani na swali nililo kuuliza. Usikimbie swali,jibu swali kisha uulize swali ambalo ni munasaba.
Nasubiri jibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibu mkuu nina magame mawili Temple Run na Diamond Rush sijui ungependelea kucheza lipi?[emoji3][emoji3][emoji3] naomba uniazime simu yako nicheze game
We nipe tu nitachagua ninachotaka unipe tu simu, huyu uliyeanza kuulizana nae maswali hamtamalizana leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibu mkuu nina magame mawili Temple Run na Diamond Rush sijui ungependelea kucheza lipi?
Waislam mnadhani Mungu ni kama baba zenu hao Mungu akiamua ashuke kama alivyo na utukufu wake hapa duniani hakuna mtu angeishi kwahiyo ilibidi aje duniani kama mtu ili kuwahubiria kwanza injili na kuwaonyesha kuwa binadamu tuna uwezo wa kuishi bila kufanya dhambi kama yeye alivyoishiSasa Yesu ni nani kama sio mtu ? Mbona mnajichanganya sana nyinyi ?
Na kwanini alikuja kama mtu na asije katika umbile lake halisi aliogopa nini ? Na kwanini alikuja na madhaifu ?
Jibu langu ni kwamba siyo kila kitu Mungu alichokiruhusu kifanyike au kitokee duniani basi anakipenda vingine kaviruhusu sababu anajua jinsi alivyotuumba binadamu wadhaifu na wenye mapungufu na ana sababu zake kwanini karuhusu tendo la ndoa Mungu aliliruhusu ili tuje kuzaliana na kuongezeka hapa duniani tena alitaka lifanywe na wanandoa tu
Na ndo maana akakataza uzinzi na uasherati ila sisi tumelifanya kama anasa hadi ambao hawana ndoa nao wanafanya tu wanavyojisikia lakini kwa Mungu tendo la ndoa ni uchafu na mbinguni hakuna tendo la ndoa na ndo maana nikakuuliza je shetani ni mzuri na tutamkuta tena mbinguni sababu tu Mungu ndo alimruhusu aje duniani? Nijibu hapa
Waislam mnadhani Mungu ni kama baba zenu hao Mungu akiamua ashuke kama alivyo na utukufu wake hapa duniani hakuna mtu angeishi kwahiyo ilibidi aje duniani kama mtu ili kuwahubiria kwanza injili na kuwaonyesha kuwa binadamu tuna uwezo wa kuishi bila kufanya dhambi kama yeye alivyoishi
Kwa kweli najiona kabisa ninavyoenda kulala saa nane sasa ni bora nilale saa nane nikibishana kuhusu wanaume kupenda kuchepuka kuliko nibishane na waislam kuhusu dini hii vita haijawahi kuisha na haitakaa iishe yaani hivi vita amiri jeshi mkuu ni Mungu mwenyewe ndo maana nimemkatisha tu hapo nimemuambia abaki na anachoamini asinichosheWe nipe tu nitachagua ninachotaka unipe tu simu, huyu uliyeanza kuulizana nae maswali hamtamalizana leo
Basi subirieni hao mabikira 72 mkafanye nao weee hadi mchoke ndo mjitahidi sasa mfanye matendo mema muende mbinguni mkakutane nao au labda na motoni napo wapo?Sasa uchafu wa tendo la ndoa kwa wana ndoa uko wapi ?
Na kwa vipi Mola aliyetuumba asifurahishwe na tendo halali la ndoa kwa wana ndoa ?
Ndio maana nikawa nataka ujibu swali hili,sasa unasema tendo la ndoa chafu na unalinasibisha na Moa,sasa ndio uniambie ni kifungu gani kina sema tendo la ndoa ni uchafu ?
Na nani amekwambia mbinguni hakuna tendo la ndoa ?
Unaposema mbinguni ni mbingu ya ngapi ?
Hivi kitu kichafu au jambo chafu linaweza kutoa jambo au kuzalisha kitu kisafi ?
kwanza injili na kuwaonyesha kuwa binadamu tuna uwezo wa kuishi bila kufanya dhambi kama yeye alivyoishi
Na alitufia msalabani ili turudi kwenye ile nafasi ambayo wanadamu wa enzi zile walishaipoteza kwa Mungu kutokana na maovu yao usiponielewa hapo ndugu yangu basi hakika hautanielewa hata niandikie miguu kwahiyo wewe baki na imani yako tu kwanza siwezi kuendelea kubishana kuhusu dini huko ni kupoteza muda maana najua fika Mungu hana dini na Mbinguni hakuna dini kitakachokupeleka mbinguni ni imani na matendo yako
Bakini na mnachoamini ndugu zangu waislam kwa sababu hata nikikujibu hayo maswali yote bado hautabadilisha imani yako kwahiyo usinipotezee muda nisikupotezee muda usiku mwema mkuu lala salama uwaote hao mabikira 72 eehh tchaoSasa wewe ndio unaleta dhana na unamdhania Mola kinyume na alivyo,inaonekana Mola anatisha mpaka akishuka tusiweze kuishi ?
Lakini kwa udhaifu gani wa Mungu mpaka akaamua kushuka kwa umbile la binadamu,nini alikihofia wakati yeye ni muweza wa yote ?
Basi subirieni hao mabikira 72 mkafanye nao weee hadi mchoke ndo mjitahidi sasa mfanye matendo mema muende mbinguni mkakutane nao au labda na motoni napo wapo?
Mimi ndo nimemaliza hivyo siwezi ilazimisha kipofu ione wakati yenyewe haitaki kuona mimi nifanyaje sasa iache ibaki na ukipofu wake that being said good night and case closed ciaoIbrahim na kizazi chake mpaka kwa Musa wao mbona walifikisha ujumbe na watu wao wakauelewa vipi yeye aliamua kushuka kama yeye,je kulikuwa tofauti gani kipindi cha Ibrahim au Musa asishuke akaja kipindi baada ya Yusha bin Nuun ?
Lakini je ni kweli binadamu tunaweza kuishi bila kufanya dhambi ?
Mungu tena alikufa msalabani ?
Hivi kifo ni sifa dhaifu au ni ukamilifu ?
Alivyo kufa alifufuka baada ya muda gani ?
Na huki duniani nani alikuwa anaratibu mambo yake ?
Bakini na mnachoamini ndugu zangu waislam kwa sababu hata nikikujibu hayo maswali yote bado hautabadilisha imani yako kwahiyo usinipotezee muda nisikupotezee muda usiku mwema mkuu lala salama uwaote hao mabikira 72 eehh tchao
mbona aliiba mbao!?..hiyo si ni dhambi?..halafu alienda kwenye mzaituni akakuta zaituni hakuna,mungu gani hajui msimu wa mazao?..aliposema mungu wangu mbona umeniacha alikua anamlilia mungu gani?Waislam mnadhani Mungu ni kama baba zenu hao Mungu akiamua ashuke kama alivyo na utukufu wake hapa duniani hakuna mtu angeishi kwahiyo ilibidi aje duniani kama mtu ili kuwahubiria kwanza injili na kuwaonyesha kuwa binadamu tuna uwezo wa kuishi bila kufanya dhambi kama yeye alivyoishi
Na alitufia msalabani ili turudi kwenye ile nafasi ambayo wanadamu wa enzi zile walishaipoteza kwa Mungu kutokana na maovu yao usiponielewa hapo ndugu yangu basi hakika hautanielewa hata niandikie miguu kwahiyo wewe baki na imani yako tu kwanza siwezi kuendelea kubishana kuhusu dini huko ni kupoteza muda maana najua fika Mungu hana dini na Mbinguni hakuna dini kitakachokupeleka mbinguni ni imani na matendo yako
Mimi ndo nimemaliza hivyo siwezi ilazimisha kipofu ione wakati yenyewe haitaki kuona mimi nifanyaje sasa iache ibaki na ukipofu wake that being said good night and case closed ciao
imani yenu hainaga logic..kwamba yesu ni mungu,mwana wa mungu pia,lakini mama yake ni bikira maria ambae alipata mimba kwa miujiza ya mungu,yaani yesu alimtia mimba mama yake ili azaliwe,we na kwenda shule kote unajifanya kuelewa hapo!!?Kwa kweli najiona kabisa ninavyoenda kulala saa nane sasa ni bora nilale saa nane nikibishana kuhusu wanaume kupenda kuchepuka kuliko nibishane na waislam kuhusu dini hii vita haijawahi kuisha na haitakaa iishe yaani hivi vita amiri jeshi mkuu ni Mungu mwenyewe ndo maana nimemkatisha tu hapo nimemuambia abaki na anachoamini asinichoshe
Naona unatamani tuendelee kubishana basi ngoja nikwambie hivi sihitaji kuwauliza viongozi wa juu yangu sababu hata mimi mwenyewe nina majibu ya maswali yako yoteKaka sikufichi maswali yangu huwezi kuyajibu na kubishana ni ishara ya ujinga,huwa sibishani sababu naijua haki,na haki siku zote huwa juu wala hakuna kilicho juu ya haki.
Maswali niliyokuuliza ukipata muda,jaribu kuwauliza wakubwa zako waliokuzidi elimu katika dini yako.
Ukiwa hujui ni bora kuulizaHawa watu mahubiri yao asilimia kubwa ni mwanamke tuu hawana kingine sasa sijui na watoto wadogo wamehudhuria swala hapo? Maana wakristu wao wana ibada rasmi za watoto na mafundisho ya watoto wakiwa peke yao sasa kwa wenzetu sijui wana utaratibu huo kwenye ibada zao, hapo kiongozi wa dini ndio anaongoza kumomonyoa maadili unafikiri watoto wakitoka kwenye hiyo ibada si wanakwenda kwenye practicle?
Duuh aisee kazi ipombona aliiba mbao!?..hiyo si ni dhambi?..halafu alienda kwenye mzaituni akakuta zaituni hakuna,mungu gani hajui msimu wa mazao?..aliposema mungu wangu mbona umeniacha alikua anamlilia mungu gani?
Naona unatamani tuendelee kubishana basi ngoja nikwambie hivi sihitaji kuwauliza viongozi wa juu yangu sababu hata mimi mwenyewe nina majibu ya maswali yako yote
Ila sijataka kukujibu kwa sababu haujauliza kwa kutaka kujua bali umeuliza kwa kutaka kupinga siku zote anayeeleweshwa ni yule ambaye yuko tayari kuelewa na kuukubali ukweli
Siyo yule ambaye anasubiri umueleweshe ili akubishie huyo anayetaka kumuelewesha atakuwa anapoteza muda tu maana kila atakachojaribu kuelewesha atabishiwa tu
Halafu mtu kukataa kukujibu kitu siyo kwamba hajui yaani ni sawa uniulize jina langu halafu nikakataa kukutajia utasema silijui jina langu sababu nimekataa kukutajia?