Hii pepo yenu ni miongoni mwa yanayonifanya nibaki kuwa muislamu nikaipate pepo ya kiislamu.Ah hivi kumbe ndo nyie pia mnaojipa moyo kuwa wanaume wa kiislam watakaofanikiwa kuingia mbinguni watakuta wameandaliwa wanawake mabikira 72 kila mmoja? Aisee hii dini ina mambo ya ajabu sana yaani watu wanadanganywa kila kitu na wanaamini
Mtu anashindwa kufikiria tu kwamba kule mbinguni kinachoenda ni roho na siyo mwili yaani mwili ukishaoza kule kaburini ndo basi na siku zote chenye tamaa na shauku ya kutaka kufanya dhambi ni mwili na siyo roho sisi wakristo huwa tunamnukuu Yesu aliposema "roho i radhi lakini mwili u dhaifu sana"
Halafu tendo la ndoa kwa Mungu ni uchafu haya mambo mliyowekewa duniani msitegemee mtaenda kuyakuta mbinguni yaani kitu ambacho Mungu alikiweka ni starehe kwa viumbe vyake hadi wanyama ndege na wadudu duniani ndo kikawepo na mbinguni? Subhanallah hivi nyie mbinguni mnapachukuliaje wandugu?
Kule ni patakatifu siyo sehemu ya kwenda kufanya zinaa wala kufunga ndoa tena kule ni sehemu ya kumsifu na kumuabudu Mungu tu hata hao kina Solomon na David hayo ya kuoa wake wengi waliyaacha hapa hapa duniani huko walipo wanasujudu tu saa hizi na ndo maana hata Yesu alizaliwa kupitia njia ya kawaida ya mwanamke lakini hakuzaliwa kupitia tendo la ndoa sema daah watoto wa bi mdogo mna kazi
ElijahNi nabii gani aliyepaa mbinguni na farasi huyo?
yani huku depo la kusali na kusujudu kumbe tukifika huko tunaliendeleza milele duh!!! vp ukitegea kidogo unafukuzwa?//
Una uhakika unaemjibu ni muislam?Siyo mimi bali ni maneno ya waislam wenzako mliopotoka kama wewe kuna la uongo nililosema hapo?
Bismillah Rahman Rahim
Asalaam Alleykum,warahma'tullah Wabarakatul.
Baada ya salaam hiyo ndugu zangu ninapenda kukukumbusheni hasa Wanaume , mashabaab wenzangu kuzingatia yale ambayo amekuwa akiyaeleza Sheikh wetu Sheikh Kipozeo katika kuelezea Neema za Allah alizowajaalia wanawake wa kibantu.
Aidha hapa Sheikh wetu alielezea hisia zake za kuwapenda wanawake wale wenye mizigo mikubwa mikubwa sheikh....naam!
Mizigo ile ya kibantu ile' Ashakum si matusi alikuwa akizungumzia Makalio makubwa yale Sheikh...au Matako mazitomazito.....Allah Akbar,..... Mmhhh!
• Baada ya hayo, bado kuna mapungufu aliyokuwa nayo Sheikh KIPOZEO kwakuwa hakueleza ni kwa jinsi gani Mwanamke ajiweke machoni pa Mume wake, kuanzia kutembea na hata sauti laaadhim sheikh.
Basi anatukumbusha hapa MAALIM DIMOSO kuwa wake zetu wajistir vipi na kuishi vipi ili tu tusiwatamani wasio wake zetu halal na kumkosea Allah wetu (S.A.W)
Ndugu Waislam kuzingatia haya ni muhimu sana kwa kulinda thawab
Video hapa nchini inaelezea kwa ufupi mawaidha ya Maalim DIMOSO.
Wabillah Tawfiq.
View attachment 1123459
Huyo nabii aliyepaa na farasi sijawahi kumsikia labda uniambie wewe ni nabii gani huyo? Halafu unielezee na process ya mwili kutoka kwenye kaburi na kwenda mbinguniUsijifanye una akili nyingi wewe jamaa ,umesema kinachoenda mbinguni ni roho na sio mwili ,na mimi nikauliza swali yule Nabii aliyepaa na Farasi aliingia Mbinguni kwa roho au mwili ? Hao farasi wako wapi ?
Imeandikwa wapi hiyo mkuu?Elijah
Wewe ni Mkristo ? Process ya mwili kutoka kwenye kaburi kwenda mbinguni mimi sijui wewe ndiye unayejua na ndio maana ukasema kinachoingia mbinguni ni roho sio mwiliHuyo nabii aliyepaa na farasi sijawahi kumsikia labda uniambie wewe ni nabii gani huyo? Halafu unielezee na process ya mwili kutoka kwenye kaburi na kwenda mbinguni
Pale dini inapokosa utaratibu mzuri wa kuchagua wanaofaa kuisimamia
This is utter rubbish
Mkuu Google tu kama hujawahi sikia habari zake utapata unachokitakaImeandikwa wapi hiyo mkuu?
Mbona wapo vizuri?
Tatizo wagalatia hamjui mapenzi
Mkuu mimi nimetaja baadhi ya mambo ambayo watakaofanikiwa kuingia mbinguni watayafanya na sijayataja yote yapo mengine mengi tu ila sijayataja lakini MBINGUNI HAKUNA TENDO LA NDOA hilo futeni vichwani mwenu tendo la ndoa kwa Mungu ni uchafu na hawezi kuruhusu uchafu mbinguni halafu unasema kumuabudu Mungu ni kazi ngumu?Hii pepo yenu ni miongoni mwa yanayonifanya nibaki kuwa muislamu nikaipate pepo ya kiislamu.
Yani duniani niabudu alafu malipo iwe ni kuabudu huko huko,sio poa kabisa.
Ni sawa na mtu afanye kazi ya kulima alafu malipo iwe ni kulima huko huko ndo malipo yake.akili yangu inakataa kabisa.
Waislamu tunajua kwamba baada ya kazi ni bata,sio baada ya kazi ni kazi hiyo hakuna.
Baada ya dhiki faraja kubaudu ni jambo gumu hivyo mwenye kulifanya lazima alipwe faraja.
Uislamu naupomgeza sana haukuwa mnafiki kabisa,umetaja wazi kwamba peponi tutapewa vile tunavyopenda.pepo ya waislamu hakuna kuabudu,huko ni burudani na kula raha kwa kwenda mbele unapata utakacho bila dhiki yeyote.
Mkuu mimi nimetaja baadhi ya mambo ambayo watakaofanikiwa kuingia mbinguni watayafanya na sijayataja yote yapo mengine mengi tu ila sijayataja lakini MBINGUNI HAKUNA TENDO LA NDOA hilo futeni vichwani mwenu tendo la ndoa kwa Mungu ni uchafu na hawezi kuruhusu uchafu mbinguni halafu unasema kumuabudu Mungu ni kazi ngumu?
Siyo kosa lako ni huo mwili uliopewa ndo unakufanya uone hivyo kwa sababu siku zote roho hutamani kufanya mema ila mwili hutamani kutenda dhambi tu ndo maana nikakwambia roho i radhi lakini mwili u dhaifu sana hata wale wafalme watakatifu waliooa wake wengi wapo huko mbinguni wanasujudu na sidhani kama wanalalamika halafu pia hebu kuwa tu mkweli hii dunia unavyoiona au wewe tu hapo ulipo unajiona unamuabudu Mungu?
Hivi nyie kumuabudu Mungu mnakuchukuliaje? Hivi hapo mlipo mnaweza kusema mnamuabudu Mungu kama anavyotaka kweli? Laiti kama Mungu angesema aje duniani atafute wale wanaomuabudu kama anavyotaka yeye ndo aende nao mbinguni basi nakuhakikishia angerudi mbinguni peke yake
Hapa duniani hakuna anayemuabudu Mungu ipasavyo wote tunacheza tu na yeye kwa sababu ya neema na rehema zake anavyotupendelea basi tunajihisi kama vile tumemfurahisha tumefanya yote anayotaka kumbe ni upendo wake kwetu tu wanadamu ifike pahala tuache kujidanganya na hizi dini MUNGU SIYO DINI NA DINI SIYO MUNGU na wala mbinguni hakuna dini wala dhambi
Nimezisikia na kuzisoma pia, nataka kulifahamu hilo andiko linalozungumzia huo muujiza linapatikana katika kitabu ganiMkuu Google tu kama hujawahi sikia habari zake utapata unachokitaka
Mkuu mimi nimetaja baadhi ya mambo ambayo watakaofanikiwa kuingia mbinguni watayafanya na sijayataja yote yapo mengine mengi tu ila sijayataja lakini MBINGUNI HAKUNA TENDO LA NDOA hilo futeni vichwani mwenu tendo la ndoa kwa Mungu ni uchafu na hawezi kuruhusu uchafu mbinguni halafu unasema kumuabudu Mungu ni kazi ngumu?
Siyo kosa lako ni huo mwili uliopewa ndo unakufanya uone hivyo kwa sababu siku zote roho hutamani kufanya mema ila mwili hutamani kutenda dhambi tu ndo maana nikakwambia roho i radhi lakini mwili u dhaifu sana hata wale wafalme watakatifu waliooa wake wengi wapo huko mbinguni wanasujudu na sidhani kama wanalalamika halafu pia hebu kuwa tu mkweli hii dunia unavyoiona au wewe tu hapo ulipo unajiona unamuabudu Mungu?
Hivi nyie kumuabudu Mungu mnakuchukuliaje? Hivi hapo mlipo mnaweza kusema mnamuabudu Mungu kama anavyotaka kweli? Laiti kama Mungu angesema aje duniani atafute wale wanaomuabudu kama anavyotaka yeye ndo aende nao mbinguni basi nakuhakikishia angerudi mbinguni peke yake
Hapa duniani hakuna anayemuabudu Mungu ipasavyo wote tunacheza tu na yeye kwa sababu ya neema na rehema zake anavyotupendelea basi tunajihisi kama vile tumemfurahisha tumefanya yote anayotaka kumbe ni upendo wake kwetu tu wanadamu ifike pahala tuache kujidanganya na hizi dini MUNGU SIYO DINI NA DINI SIYO MUNGU na wala mbinguni hakuna dini wala dhambi
Yapo mengi sana tena mahubiri ya maana yanayokataza zinaa, shirki, ulevi, kuua, yapo ambayo yanahuri kutenda mema nk. Sema wengi hayo hawayaskilizi wanapenda hizi mambo zenye comedy. Kama unataka sema utumiwe Sheikh Nassor Bachu na wenzake upate mahubiri ya maana sio izo comedy.Hivi hawa jamaa hawanaga mahubiri mengine tofauti na hayo maana mi naona wengi wanaongelea tu mahusiono
2 Kings:2:11Nimezisikia na kuzisoma pia, nataka kulifahamu hilo andiko linalozungumzia huo muujiza linapatikana katika kitabu gani
Kwahiyo kumbe huwa mnaelekezwa na namna ya kumkunja mwanamke hawap 6*6?Mbona wapo vizuri?
Tatizo wagalatia hamjui mapenzi