Kwa hili la pili mlevi hapiti tena hili huwa linatumika mchana tu uasiku huwezi kuona mahali pa kukanyaga! Akili ya mlevi inatoa fikra ya muda mfupi tu wa kuafanya kitu fulani na kufanikiwa. Kitu chenye kuchukua muda mrefu kama kuvuka hilo daraja refu hapo mlevi hafui dafu.
Si kweli, utashangaa hapo mlevi aliyelewa fofofo anapita na gari mpaka nyumbani kwake. AKihamka asubui na akili timamu anajiuliza alipitaje hapo na gari lake liko vile vile halina hata hali ya kubondeka. Usicheze na walevi mkuu, wale wana ubunifu wa hali ya juu kwenye hatari.
Kama hakuna njia nyengine unapita kabisa,
Ukifika kwenye hilo daraja steem zinapungua kdg unapiga mguu shoto mguu kulia ile ukimaliza kupita unaangalia ulipotoka na kugeuka unapokwenda fasta na safari inaendelea kama kawaida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.